Ref. No.MU/SOPAM/CDC/GH20-2063/VOL.1/38
ANNOUNCEMENT OF EMPLOYMENT VACANCY
BACKGROUND:
The Centre of Excellence in Health Monitoring and Evaluation (COEHME) housed in the School of Public...
TUKIWA KAZINI NA JAMAA ZANGU MAZUNGUMZO YALIKUWA HIVI NI WAPI WANAONGOZA KULIPWA MISHAHARA MIREFU HAPA TANZANIA?
NI UN
WENGINE WANASEMA NI WORLD BANK NA FICSA WENGINE WANASEMA NO ni AMREF
KUNA...
Mara ya mwisho nilipata Mtu humu akaniamini akanishika mkono na kunipeleka Porini/Hifadhini kwenye shughuli zinazohusiana na Utalii, nilijitahidi kufanya kwa uaminifu na kupata Exposure na...
Hello Wanajukwaa.
Natafuta tender ya kufundisha Kingereza au History au yote kwa Level zote za elimu yaani.
Basic Level
Intermediate Level
Advanced Level
Na pia nafundisha History na English...
Wakuu habar za mda?
Hvi ni kwanini ajira nyingi za vyombo vya ulinzi wanahitaji watu waliopita JKT na JKU (kwa Zanzibar)?
MTaani wapo vijana wengi waliosoma na hata ambao hawana elimu ambao...
Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
Kwema guys?
Tusichokane jamani,nimetwa kwenye interview mbeya cement nafasi ya finance.
Naomba kuuliza maswali gani huwa wanauliza,na mshahara wao huwa ni kiasi gani?
ONE OF THE NEWLY ESTABLISHED DAYCARE SCHOOL LOCATED WITHIN ARUSHA CITY MUNICIPALITY (MOSHONO) IS LOOKING FOR A DAYCARE TEACHER WHO WILL ALSO BE PERFORMING ADMINISTRATIVE ACTIVITIES WHERE...
Habari
Tunatoa huduma ya uzoaji taka ngumu za majumbani,shuleni,makampuni na sehemu nyingi !
Kampuni ni kj cash point, kwa maelezo zaidi mawaailiano 0753215818
Tupo dar es salaam
Asanteni sana!
Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua...
Wakuu kutokana na maisha kuwa magumu, nimefikiria kulima bustani ya mbogamboga; bamia, mchicha, matembele, sukuma wiki, chainizi n.k.
Changamoto sina eneo wala vitendea kazi, bomba la kupigia...
Kukaa bila kazi Ni changamoto kubwa sana, mwili unahitaji mavazi, tumbo linahitaji chakula, simu iwekwe Salio. Yote haya na mengineyo hayawezi kuja bila pesa, pesa haipatikani bila kufanya kazi...
Sifa za Muombaji:
Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV
Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications
Awe na umri kati ya miaka 18 - 25
Awe...
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uzoefu wa usaili kuhusu Jeshi la magereza kwa sisi Form Four tusiokuwa na fani.
Je, usaili wake upoje? Au maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni yapi...
Wakuu,
Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital.
Muda wa kazi ni kuanzia saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.