Habar wakuu,
Bila kupoteza muda
ELIMU +SIFA ZANGU
Nina diploma ya Medical Laboratory science
Expirience more than 5 years
Nina valid medical lab licence
Nina other training certificates kama...
Kama kuna mtu anatafuta driver Yupo mzoefu na mchapakazi kwa Mawasiliano zaidi piga 0717751175
Naendesha gari za aina zote na popote naenda karibuni sana.
Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na...
Degree yangu ni B.A . education but Nina experience in customer care lakin nko tayar kufanya kazi yoyote mbali na professional yangu,,,,,, makazi yangu ni tegeta
Mimi ni tabibu (Clinical Officer) mwanamke.
Nipo Mbinga Ruvuma.
Nahitaji wa kubadilisha naye vituo.
Awe wilaya yoyote ya Mkoa wa Kagera, wilaya ya Bukombe au Chato mkoa wa Geita au wilaya ya...
Habari za wikiendi wakuu.
Naandika uzi huu kuwakumbusha vijana wote walioajiriwa na TRA katika zile nafasi mpya 400: na hapa nitaegemea kwa wale ambao hawajawahi kufanya kazi katika utumishi wa...
Habari zenu wakuuu,
Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi...
Kwenye tangazo lenu la ajira mlisema kuwa mnataka kuanzia Div 1 mpaka IV!!,Si mngesema tu kipaumbele chenu ni Div III na IV na wale walioko kwenye kambi za JKT ambao wanajitolea?
Habarini wakuu,
Kumekuwa na Changamoto ya Graduates kuomba kazi lakini hawaitwi kwenye udahili kutokana na CV pamoja na Coverletter kukosa ushawishi kutoka kwa Mwajili.
Pia inawezekana Muda wa...
Habari wakuu hivi kazi za kutwa pale bandari malipo yake yanakuwaje kuna hizi position
1)Operator
2)Makalani
3)madereva
4)wafanya kazi za mikono (sio ujuzi)
Sina uelewa Sana ila hizi kazi Kama...
Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi.
Pia hatakama una kazi yako...
Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na...
Habari za humu ndani,
Nina ndugu yangu yeye ni dereva wa canter, kuanzia tani 2, 3 mpaka magari makubwa anaendesha.
Ni mzoefu wa kazi husika kwa miaka mingi, Leseni hai iliyokamilika. Kwa sasa...
1.Njoo Mafia-Mkoa Pwani katika hospital ya Wilaya MAFIA.
-Nije Mwanza Wilaya Nyamagana,Magu na Ilemela.
-Nije Mbeya Wilaya yoyote au Manispaa
-Nije Arusha Wilaya yoyote au Manispaa
-Nije Dar...
Habari wakuu.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.
Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.