JOB VACANCY
JOB TITLE: Office Attendant
JOB SUMMARY:
To keep the Office Clean and tidy, deliver messages and packages within the office and performing miscellaneous duties such as making small...
Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya...
Leo mkuu wa nchi ambae ni Rais ameagiza na kuruhusu mashirika kuajiri watumishi wa umma moja kwa moja.
Hii ina maana sasa hayo mashirika mfano TRA, TANESCO na mengine yaliokuwa yatumia PSRS sasa...
Naitwa Innocent
Mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ya binadamu, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mwenye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458.
Asante
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya...
Wadau wenzangu Job Seekers, ninaishukuru TANAPA kwa kutangaza nafasi tele za kazi. Ila wamesema tuombe online. Nimejaribu kujiunga na hiyo ARUTI system lakini kila nikiomba wanipeleke kwenye...
Habari wakuu.
Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering.
Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza...
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.
Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na...
Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie...
Habarini ndugu zangu wana JamiiForum, poleni na majukumu ya kazi,
Ndugu yenu nimekuja mbele yenu mnipokee na kunisaida, nina shida ya Kazi/Ajira, Iwe Serikalini au Sector Private nitashukuru...
Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie?
Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
- Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa...
A newly opened clearing & forwarding company, is looking for a qualified and experienced declaration Officer, who can do Local, Transit and export declaration, for containers, loose cargo and...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah...
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi...
Wanahitajika Laboratory Managers, Laboratory Supervisors, Chemists, Laboratory Technicians na Laboratory Assistants kwenye Mgodi wa Dhahabu.
Andaa CV yako, barua ya maombi na vyeti vyako kwaajili...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma.
Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.