Habari wakuu kwa wale majobless kama mimi nawapa ujanja baada ya kupata uzoefu kidogo wa miezi kama mitatu hivi, kwa dar es salaam kuna masoko kama manne hivi ninayoyafahamu vizuri..yaani soko la...
Nurse Position at Milvik Bima
Location : Dar es Salaam, Tanzania
MILVIK BIMA
Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables...
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo leo.
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar...
Naomba serikali iliangalie hili.
Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili:
Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza...
Habar wakuu!
Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan hapa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mimi ni fundi.
Habari Waungwana.
Naitwa Diwani D.A. nina umri wa miaka 27, kitaaluma ni Mwalimu, nina uzoefu wa kufundisha tangu mwaka 2019. Nina uhitaji wa kazi ya kufundisha kwa muda (Kutwa), Shughuli hii...
Wakuu naomba mwenye tangazo la hizi kazi za MDAs & LGAs anisaidie.
Hizi nafasi za kazi usaili wake wa written ulishafanyika na tangazo lake lilitoka mwaka jana.
Naomba ambaye analo anipe wakuu...
Habarini wanajukwaa, wakubwa shikamoni.
Leo nimepata invitation letter ya mwajiri nchini Europe jiji la ireland Dublin ila nimeambiwa niendelee na procedure za application form kama;
~ Europass...
Kuna mtu alishawai kuniambia kwamba kama wewe unaona confidence yako ni ya mashaka sana kwenye oral interview bhasi kunywa bia/beer moja au 2 afu ingia kwenye oral the rest will be historia...
Natumaini wazima wa afyaa,Mm ni kijana wa Mika 29 ni mkazi wa jijini DAR nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara Mana na amini kupitia jukwa ili Kuna...
Nahitaji Graduate Electrical Engineers wa mwaka jana. Hawa wenye reg. 2018-04-....
Naomba unitumie CV yako na vyeti pia kama ukiweka na application letter ni nzuri pia..
Eneo la kazi ni KAGERA...
Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea.
Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine.
Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa...
Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima.
Naomba kazi ya Graphic Design kama
• Kudesign logo
• Kudesign business cards
• Kudesign presentation
Yaani kiujumla any design kwa kutumia
•...
Jamani shule zinafunguliwa kesho kutwa,
Naombeni kazi ya kufundisha Kwa sekondari kwenye History na Kiswahili na Kwa shule za msingi ni masomo yote. Tangu nihitimu mafunzo ya shahada ya ualimu...
TAKUKURU walitangaza ajira nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi za "WACHUNGUZI WASAIDIZI" .Hatua ya kwanza watu waliomba wakajaza taarifa kwenye mfumo na kuambatanisha nyaraka zote zilizohitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.