Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya...
Wakuu.
Jana nilikuwa na interview katika Kampuni fulani ila nimekuwa so disappointed baada ya kuulizwa sikujua walikuwa wanakusudia nini?
Umezaliwa wapi?
Kabila gani?
Nani alikushawishi kutuma...
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti
Vyeti vya shule majina yanasoma; Jakaya Mrisho
Cheti cha kuzaliwa na NIDA ID majina yanasoma; Jakaya Mrisho Kikwete.
Ushauri wakuu...
Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku.
Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata...
NAFASI YA KAZI
Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP.
Duka lipo Ubungo Kibangu.
Conditions
1. Awe wa kike na Awepo Dar es...
Naomba ufafanuzi kuhusu hili ivi mfano
Diploma umesomea procurement and supply na Umasha upload vyeti vyako ajira portal
Alafu degree ukasomea accounting na vyeti uka upload ajira portal
Je...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi kijana mwenye elimu ya kidato cha nne. Naomba mnisaidie mtu yoyote mwenye uhitaji wa kufanyiwa kazi kama vile:
1. Kunituma kutoka sehemu 1 hadi nyengine...
Wakuu habari zenu.
Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu.
Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio...
Greetings,
My name is Gozibati Bayona, a 24 years old. I seeking for an employment opportunity in any related field that my particulars fit.
Education level: Bachelor degree in Business...
Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute.
Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira.
Nilipopoteza kazi...
Habari,
Naomba graduate wa sheria ataeweza kufundisha mwanafunzi wa Sheria Open University kwa njia ya mtandao tuwasiliane whatsap number +919535742292 (whatsap tu) kujadili utaratibu mzima...
Naitwa zaza
Nina Miaka 23,
Natafuta mke wa kuishi nae uchumba hadi ndoa, Umri asizidi miaka 25, , hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Seriously upweke...
Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄.
Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm.
Sifa za...
Wiki iliyopita Jumaanne ilikua ni deadline kwa nafasi za Technicians pale Princess Casino
Kuna yeyote humu kashapokea simu ya kuitwa kwenye usaili ?
#Wasiwasi ndo akili
Habari wakuu.
Hadi kufikia leo hii nimeshafanya interview kama tatu hakuna niliyopata.
Wiki hiki hii ninayo nyingine.
Hebu wanabodi mje mniambie nakosea wapi.
Maswali matatu niliyokutana nayo...
- Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika.
- Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na...
Habari wakuu!! nauliza hapa kama kichwa cha ujumbe hapo juu, Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 january katika kanda tofauti tofauti yametoka au bado?
natafuta sioni..labda kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.