Habari za Mwezi February wana-JF.!!
Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi).
Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna...
Habari Wananzonde jukwaani
Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote ...
Habari wana jukwaa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe
Viwandani, Madukani, Makampuni n.k
Elimu yangu kidato cha nne
Fani WELDING (UCHOMELEAJI)
NAOMBENI...
Three main types of jobs are Permanent Jobs, Temporary Jobs and Contract Jobs. Most of people go through more than one type of job during their lifetime. One is always in pursuit of a dream job...
Greetings,
My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit.
I...
Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu.
Vijana wenzangu ninawapenda sina...
Anahitajika mfamasia aliyepo mkoa wa DSM ili atumie cheti chake kufungulia pharmacy, mshahara kwa vile biashara inaanza ni laki7 kwa mwezi ila kadri biashara inavyokua kubwa utaongezwa huo...
Husika na kichwa cha habari hapo juuu.mnadhana mmewah kuskia hii kazi za unv wenyewe wanaziita volunteer assignments
Mm kuna moja nmeomba nmetumiwa email nmeaambiwa "profile imekuwa submitted to...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
MSAADA UNAHITAJIKA
Kwanza kabisa niwape pole kwa shughuli zenu za hapa na pale.
Mimi nimefanikiwa kubadilishana na Mtu wa Kaliua mkoa wa Tabora. Kwahiyo mda sio mrefu nahamia Kaliua.
Tatizo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Shifaa Mwembetanga, Wilaya ya Mjini, Unguja.
Alhaj...
Je wewe ni kijana mwenye nguvu, mchapakazi, mbunifu na mwaminifu?
Anatakiwa kijana wa kiume atakayeweza kufanya kazi za bustanini.
Piga simu sasa ukiwa na barua ya mdhamini wako mwenye kadi ya...
Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi
Umri ni miaka 21,20,18,
Elimu kidato cha nne,
Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani.
Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni...
Jinsia (Ke)
Amesoma Diploma in Pharmaceutical Science kutoka chuo cha Kilimanjaro School of Pharmacy
Registered with the Pharmacy Council of Tanzania (Ana leseni)
Ana uzoefu wa kazi kwa mwaka...
Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi.
Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift.
Napatikana kwa number...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.