Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu wanajukwaa! Mie Ni kijana wa kitanzania. Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru. Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za leo wandugu, naomba kuuliza hivi hizi barua za kujitolea zikishaandikwa unapotaka kupeleka katika ofisi/Kampuni huwa inatakiwa imfikie nani HR au MANAGER!? Ili nipate majibu na uakika wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina...
2 Reactions
1 Replies
847 Views
Mambo niaje wadau; Nimeamua kufuatilia vichenji vyangu ambavyo vipo psssf na Nssf, wale ambao wameshapply wakapata na wengine waliokutana na changamoto za hapa na pale naombeni uzoefu. Nina kama...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari za wakati huu ndugu walimu na Watanzania wenzangu, Naitwa Mwl. Emmanuel, naomba kama kuna mtu anafahamu shule yoyote inayohitaji mwalimu wa masomo ya physics na chemistry, advanced level &...
2 Reactions
16 Replies
853 Views
Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari. Nimeeandaa Cv vizuri na nina uzoefu wa kazi mzuri. Mwezi uliopita na mwezi nimefanya interview tatu kiukweli sijabahatika Kupata kazi kote. Moyo wangu uwa unaumia sana,mara zote...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu salaam, naomba niende moja kwa moja kwenye madam tajwa hapo juu Sekretariet ya utumishi ya umma inachekesha na kuhuzunisha wakati mwingine Eti leo, mie nimepitia kwenye a/c yangu ya kuomba...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu! Nimesomea electrical engineering Naomba msaada Ni kampuni zipi naweza pata nafasi ya kujitolea kwa technician au engineer?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uwezo wangu nilio nao ni mtaji namba moja na mtaji namba mbili ambao ni pesa bado sipo poa, Nina uwezo wa kuedit picha, video za miziki, harusi na sherehe mbali mbali, pia ni fundi wa umeme wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau natumaini wote mpo salama. Samahani je ni sawa kwa mwajiri kusitisha mkataba wa miezi 8 mbele kwa sababu za kiuendeshaji na kudai ni lazima mwajiriwa aweke sahii katika hati ya makubaliano...
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED Job Summary We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam Recommended: Minimum Qualification: Certificates...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Naomba mwenye kujua mishahara ya EWURA Kwa nafasi ya mhandisi II (water and sanitation).
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nafanya salary survey, nataka kujua posts za mameneja wa vitengo mablimbali kwye mabenki yetu ni sh ngapi kwa sasa?
2 Reactions
4 Replies
903 Views
Habari zenu wakuu na samahani nilikuwa naomba kujua kwa wale wanaofanya application kwa nafas za kazi pccb mimi kila nikiattach doc mfano kama cheti ile option ya kuapload haifany kaz hii imekaaje
1 Reactions
0 Replies
392 Views
Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom