Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
WanaJF, tujuzane kwenye kada hii, Written Interview wnatoaga maswali yapi? Wapi tupite jameni.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Naitwa Kenedy Joel nipo Dodoma natafuta kazi yoyote halali umri wangu 27 nimesoma mpaka form 6 Mawasiliano 0765198643
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Mimi nimuhitimu wa kozi ya afya (diploma in pharmaceutical sciences)city college dar es salaam nimemaliza mwaka jana pia nina Leseni ya pharmacy council..nilikuwa naomba either nafasi ya kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari, Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji.
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu poleni na majukumu nilikua naomba kufahamu interview za written zinakuaje utumishi upande wa electrical technician ikiwezekana na baadhi ya maswali ambayo huulizwa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc ========= KONFA ENTERPRISES...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninauzoefu usiopungua miaka mitatu katika utengenezaji wa vipindi vya televisheni kama vile matukio kama harusi,mikutano,makala na talk shows . Nina elimu ya chuo kikuu. Nina weza kushoot events...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi...
1 Reactions
6 Replies
946 Views
Najua huu ni wakati wa job hunting kwa wahitimu wengi. Moja ya hatua muhimu za kupata ajira ni kuitwa kwenye usaili yaani interview. Kujiamini wakati wa usaili ni jambo la msingi na ambalo lazima...
21 Reactions
28 Replies
32K Views
Kuna yeyote aliekwisha tuma maombi ya PCCB hadi sasa? 😀
1 Reactions
2 Replies
541 Views
Date: 23rd January,2023 Invitation for Tenders 1. This Invitation for Tenders follows the General Procurement Notice for this Project which appeared in TANePS Issue No.446 dated 14Th...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Bellow are the Common Job Interview Questions 1. Tell Me About Yourself This is probably the most-asked interview question, and there is a reason for that. The answer to this question really...
7 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu nmekuja mbele yenu kwa ambaye alishafanya interview NEMC, Utumishi maswali yao wana-base wapi kwa mining engineer?
0 Reactions
2 Replies
676 Views
Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo. Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime. Kama unafanya nao kazi...
1 Reactions
10 Replies
833 Views
Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku, Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri, Na kuandaa Yale...
1 Reactions
5 Replies
829 Views
Anaitajika mwanamke mmoja tu Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kilio cha connection kimekua kikubwa sana huku mtaani kiasi kwamba ishaaminika ndio njia ya uhakika kupata ajira mpaka kupekelea baadhi ya watu ambao wanashikilia vitengo vizuri uko maofisini...
7 Reactions
11 Replies
996 Views
Back
Top Bottom