GUYS MSAADA,
Kuna bi dada ameitwa kwenye usaili MWANZA.
Amesomea bee-keeping ngazi ya Diploma.
Alituma maombi kwa post ya BEEKEEPING ASSISTANT OFFICER.
ANAULIZA kama kuna mtu anayafahau...
Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo...
Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to...
Habari zenu wakuu,
Leo napenda kushare jambo hili adhiim kwenu vijana wote watafutaji mliokata tamaa ya kupata michongo, ajira, au connection.
Kulingana na soko la ajira kwa sasa kuwa gumu, kiasi...
Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri,
Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira...
Wakuu habari za wakati huu!
Mimi napenda sana kufundisha Hisabati na Uchumi vyuoni, na hata masomo mengine ya elimu, utawala, nk
Nawauliza kitu kimoja tu, taratibu huwa zikoje mtu anapokuwa na...
Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya...
1. General Information
A Consulting firm located in Arusha is looking for an HR & Business Intern to serve, learn and grow in HR and business consulting service delivery.
2. Position: HR &...
Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja.
Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe...
Habarini wakuu, kwa anayetaka kujengewa mtambo wa biogesi anaweza kuni-pm. Bado jamii kubwa ya watanzania wanaendelea kutumia mkaa na wengine kuni, ingawaje utakuta ni wafugaji ambapo wangeliweza...
Heshima yenu wanajf.
Pole na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la andiko hili.
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaki 25.
Naomba mwenye kazi yeyote ambayo form four anaweza kuifanya...
FINANCE OFFICER JOB VACANCY
About EcoAct Tanzania Limited
EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste...
Habari,
Anahitajika Mwalimu wa kike mwenye uwezo wa kufundisha watoto darasa la pili ,kwanza na chekechea shule ni English medium.
Wasiliana +255752639437
Uongozi wa Kaanani Day care Center tunawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wa nursery wa kike na wakiume,
Usaili utafanyika tarehe 20/ 01/2023. Saa 2:00 asubuhi,
Kwa mawasiliano piga sim namba...
Habari wakuu,
Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja.
Maswali ya interview huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.