Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram...
4 Reactions
133 Replies
23K Views
Habari wana jamvi poleni na majukumu, naomba msaada kujua mshaharaa wa Tume ya taifa ya matumizi ya ardhi, please!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu zangu! Nimekuja kwenu hapa kuomba Support ya aina yoyote katika kitu nachokifanya cha kujitafuta na kutafuta maisha kusudi mambo mengine yaweze kwenda vizuri. Nimekuwa...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA. Job no: 545553 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: United Republic of...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Hello, I am looking for English Medium School Teacher under the following basic requirements; 1. Degree holder in Education. 2. Able to work in remote areas within Tanzania. 3. Able to work...
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Do you have experience in supplying vegetables and fruits to NGO’s and non-profit organisations? Have you done work in a school environment? Does it sound like we’re talking about you… Interested...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakuu hivi kama ulifanya usaili wa benki katika kanda fulani, na umepigiwa kutoka HQ ya hiyo bank umefaulu usaili na unaambiwa ureport tarehe fulani. Hapa unareport kwenye kanda husika uliyoombea...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
JamiiForums mobile app
4 Reactions
15 Replies
969 Views
Ninataka mtu wa kuniwekea collection ya nilivovitaja kwenye external disc nilizonazo kwa bei rahisi ya ofa pia anishauri nitapata wapi wauzaji wa flash na memory card kwa bei ya jumla bei rahisi...
1 Reactions
4 Replies
610 Views
Msichana wa kazi anatafutwa hapa Dar es Salaam. Anaweza kutoka Mikoani pia, cha msingi awe na nia thabiti ya kufanya kazi zake kwa ufanisi na kwa hiari siku zote bila kushurutishwa. Suala la yeye...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Ukweli tokea nihamie mjini Arusha changamoto haziishi kila hatua, nimepata sehemu ya kazi zangu za ufundi ila hili eneo usalama wake kwa usiku ni zero. Sasa hii imenifanya nilisahhau kabisa joto...
9 Reactions
8 Replies
891 Views
Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
1 Reactions
6 Replies
431 Views
Uongozi wa Bright Step Daycare iliyopo Goba unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike na wakiume, waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto. Usaili utafanyika siku ya kesho jumatatu...
2 Reactions
6 Replies
632 Views
Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi ya mpishi. Muombaji awe jinsia ya kike pia awe na ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kiTanzania kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Habari wapendwa! Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu. Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, nimatumaini yangu mnaendelea vizuri. Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimetafakari nikaona si vibaya nikaongezea ujuzi wa umeme wa magari. Lakini ninatamani kupata a, b, c...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Dear Headmaster, REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school. I am writing to express my strong interest in the physics and chemistry teaching position at your...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom