Habari wakuu
Mimi ni kijana ninaye jishughulisha na udereva mtandaoni hapa jiji Dar es Salaam .
Nahitaji gari la hesabu kwa ajili ya kufanyia kazi.
Mawasiliano 0656539177
Nadhani ni kuanzia mwaka jana serikali kupitia TAESA wamekuwa serious kuwatafutia vijana sehemu za kujitolea wakiwa kama interns.
Za chinichini ni kwamba hawa vijana hawawezi kuachwa ajira...
Naitwa Edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure.
Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu.
Nina uzoefu...
Habari wana jukwaa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26
Fundi welding napatikana dar es salaam, Mbagala
natengeneza :-
Milango
Madirisha
Vitanda
Anger
N.k
wanajukwaa
Naomba KAZI
Kwenye
Ofisi...
Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa...
Habari wadau,nahitaji kufahamu kazi na majukumu ya afisa biashara selikalini.Mwenye uelewa anijulishe kwani nipo njia panda sielewi..
Natanguliza shukrani..
Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu:
...
Habari wadau wa ajira,
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Habari wadau wa ajira,.
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Habari wana jamvi!
Naomba mwenye ufahamu kuhusu TaESA anieleweshe, mimi nimeomba internship kupitia TAESA toka tarehe 29/11/2022 lakini mpaka saivi bado sijaitwa kwenye interview je nifanye nini...
ABOUT ME
- Bachelor's degree in Education, majoring in Linguistics and Literature
- Strong writing skills and expertise in content creation
- Proficient in Microsoft Word, Excel, and PDF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.