Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kuna nafasi za kuhamia kwenda awura kwa taasisi za serikali... Wadau naomba kuuliza pale EWURA kwa INTERNAL AUDITOR II mashahara pamoja na posho makadirio sh. Ngapi? Ahsante
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naitwa Innocent Swai ninaishi Morogoro Mjini, Nimesoma Bachelor degree of Arts with Education. Nina umri wa miaka 26. Niwe mkwel sichagui kazi ilimradi tu iwe ya halali ijapokuwa...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani salama humu jamvini, Mimi ni kijana niliyemaliza chuo jana, taaluma yangu ni umeme ngazi ya level 2. Sasa leo kuna jamaa akanipa wazo kuwa kazi itakayonilipa vizuri ni kazi ya Ubaharia...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Habarin wana JF, Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote. Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%. Majiko Ni mazuri na yanapendwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za...
1 Reactions
22 Replies
13K Views
Naomba kufahamu kama sio kujua.. kuhusu interview za Tutorial assistance zinakuwaje mfano Tutorial assistant ya Community based conservation maswali yanavyoulizwa msaada tafadhali walau nipate...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu, leo imebidi nitenge muda wangu kidogo kuongelea vitu muhimu vinavyotakiwa ili uweza fanikiwa kuwa shortlisted utumishi katika interview zote bila kukwama. Kama...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamvi naomba kuuliza ,nafasi za kujitolea jeshini hutoka mwezi wa ngapi?
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kuuliza kwa mtu aliyewahi fanya usaili au paper kada ya TRANSPORT OFFICERS natahitaji kujua maswali wanayotoa yanabase upande gani? au kama unayakumbuka tupia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana wangu aliomba nafasi ya Afisa utalii hii ni Baada ya kutangazwa, akaweka kila kichohitajika isipokuwa picha ikakataa ku upload. Nilifika ofisi za skretariati ya ajira Dodoma wakaweza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA. Natafuta kazi yoyote...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu. Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
Naomba kwa anaefahamu mfano wa maswali ya kwenye usaili kada ya afisa mazingira daraja la pili.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello! Wana JF. Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu kuna haka kausumbufu ka kupokelwa kituo cha kazi baada ya kupangiwa na PSRS natole mfano kwa taasisi ambayo nilibahatisha ya JKCI sijajua huko kwingine. Leo ni zaid ya siku kumi na nne...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom