Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari wapendwa, Kama kichwa cha habari apo juu. Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four Nida Chuo Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mkuu SHOMBE la Kisomali, uwanja wako wa nyumbani huu sasa.ushindwe mwenyewe kujidai
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Requirements to the employee: Must know English, have an android phone and a desire to work and learn. The employee must be from the city of "dar es salaam" and must be able to move freely around...
2 Reactions
18 Replies
912 Views
Wadau naomba kuuliza aliewahi fanya kazi kwenye hii kampuni ya usafi ya SPIK N SPAN. Nataka nipeleke maombi yangu. Kuna mdada mmoja kanambia nipeleke barua sasa kanitajia viambata vingi hadi...
1 Reactions
7 Replies
697 Views
Kuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mambo zenu wakubwa, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4. A-level nilifaulu vizuri...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Adui wa msomi ni msomi Kwa walio na degree za UDOM na UDSM ni kazi Sana kupata kazi kwenye taasisi ambazo wakuu wake wamesoma nje ya hivyo vyuo au Wana Diploma. Nafikiri labda huwa wanahofia...
2 Reactions
9 Replies
643 Views
Pikipiki ni Boxer 150cc MC CFG. Anayeishi maeneo ya karibu na ubungo. Awe na utayari na mwaminifu. NB: Piga au tuma sms kwenda 0756469532/0684843532
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Anahitajika matron wa nje na ndani wa primary shule iko Mbweni usaili utafanyika jumatano saa 2:00 asubuhi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0623092982
1 Reactions
6 Replies
531 Views
Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office...
1 Reactions
4 Replies
863 Views
Habari wandugu naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in water resource Engineering
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika...
2 Reactions
6 Replies
652 Views
Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
2 Reactions
2 Replies
703 Views
Habari wana JF wenzangu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nipo dar natafuta kazi halali ya kufanya ili niitunze familia yangu pia nina uzoefu na kazi za magari lorry basi daladala Nina...
2 Reactions
2 Replies
398 Views
Kitaaluma Mimi ni Daktari wa mifugo, vet. kulingana na changamoto za mtaji ili niweze kujiajiri nafkiria kuomba mkopo halmashauri Kama million 5 hivi, kwa ajili ya kilimo na ufugaji, vitu gani vya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Anahitanika mtaalamu wa maabara ngazi ya certificate mhahala maelewano kituo cha kazi Kigamboni mawasiliano 0713214258
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu habarini. Nina kamgahawa kangu. Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
KAZI YA UWAKALA WA SOLA Kama unaishi wilaya ya Morogoro vijijini na unahitaji kazi ya uwakala wa sola , naomba tuwasiliane PM
1 Reactions
5 Replies
901 Views
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hivi karibuni inatarajia kuendesha usaili wa kuandika kielektroniki. Hivyo imeandaa mikutano ya kukusanya maoni na mahitaji ya mfumo wa kieletroniki...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom