Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, wanajamvi maisha yang sio tu magumu bali ni mabaya sana, nahitaji msaada wenu nipate kazi yoyote ya halali. Elimu yangu kidato cha sita PCB Azania...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 20 naomba kama kuna mtu ana kazi yoyote anisaidie ili niweze kuwatunza mama angu na wadogo zangu. Tafadhali kama ukiguswa na una moyo naomba unisaidie Mungu...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Habari waungwana wa humu JF. Naomba msaada wenu kwenye hili. Nina mdogo wangu amesoma bachelor of science in chemistry amemaliza chuo 2017 kwa sasa anafanya kazi kiwanda cha vipodozi kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
0 Reactions
6 Replies
608 Views
Hivi hizi jobs tunaweza ziotea vipi jamani? Kwa wale part-time workers na wale wanaotafuta mikataba kabsaa. Naomben kidogo ujuzi na connections za kuzamia huko. Life is so toughest Kigoma niko.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Eneo la kazi Kibara-Bunda hapohapo mjini. 2. Awe mkristo Mkatoliki au akiwa mkristo tu inatosha hata Msabato sio mbaya. 3. Awe kati ya umri wa 25 yrs kwenda mbele, hata akiwa mama mtu mzima...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi. Msaada
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar Umri :29 Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa. Mahali nakoishi: Tegeta -Dar Jinsia: Kike...
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi samahan wazee nilikuwa nauliza kwa anaefahamu nafasi za JKT kwakujitolea huwaga zinatangazwa mwezi wa ngapi? Asanteni..
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Madereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu, kazi ni nyingi ila connection ndio wengi hawapati. 1/ Kuna mall kubwa katika miji ambayo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello wakuu natanguliza shukrani kwenu, Nina mdogo wangu kamaliza kozi ya ukunga ngazi ya cheti, kwa Sasa gharama za kuendelea na diploma zinasumbua hivyo tumeona tumtaftie kazi kwanza. Kwahiyo...
0 Reactions
18 Replies
958 Views
Kuna mchongo wa kazi za Udereva. [emoji116]
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello, Mm ni mwanaume nina miaka 33, na degree ya Mass Communications nime majour kwenye Public Relations and Marketing. Ingawa nina uzoefu wa Miaka 7, ya ajira.. katika Community Outreach...
5 Reactions
11 Replies
847 Views
Habari za mchana? Kuna shule ya watoto wadogo nursery school iliyopo wilayani Muheza Tanga inatafuta madereva 2 wa kuendesha Hiace za shule. Sifa kubwa awe anajua kuendesha vizuri na kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
804 Views
Habarini wana dawati, naomba kifahamishwa hivi kwa kawaida inachukua muda gani kupewa majibu kwa mtu aliyefanya usahili, je ukifanya usahili halafu ukakosa unatumiwa taarifa?na je ni vibaya mtu...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wasalaam, Kama kichwa kinavyojieleza, mimi natafuta kijana makini wa kusimamia pool table chumba cha kuishi kipo maana watakuwa wanaishi Na kijana mwingine ambae yeye anasimamia sehemu nyingne ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari yako mwana Jf. Naandika uzi huu nikiwa na lengo la kubadilishana mawazo kuhusu umaskini. Swali langu ni kama ifuatavyo: NI IPI FAIDA YA MAADILI KATIKA KUTOKOMEZA UMASKINI KWENYE NCHI ZENYE...
1 Reactions
9 Replies
699 Views
*GOOD NEWS KWA GRADUATE WOTE WALIYO MALIZA VYUOOO* *KAMPUNI YA J.A TANZANIA CHINI YA UDHAMINI WA BARCLAYS BANK YAMWAGA NAFASI 200 ZA INTERNSHIP KWA WANAFUNZI WOTE WALIYO MALIZA VYUO VIKUU*...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom