wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama...
Wadau wa udereva na madereva walioitwa na ambao hawajaitwa kwenye mkeka wa TRA.
Written interview itakua jmosi 17dec, wadau naomba tuunde group discussion tujadili possible questions (whatsapp...
Habari za humu wadau,
Naombeni ushauri juu ya hili, ndugu ni mtaalam wa ICT Programming position mtumishi wa umma amepata invitation ya kushiriki katika kutengeneza mfumo kutoka kampuni ya...
Wakuu,
Naomba kujuzwa bei ya mipira imara ya kuunganisha kwenye bomba la maji kwa ajili ya kujaza tenki la maji na vyombo vingine na mahali naweza kuipata kwa Dar es salaam hasa katika maeneo ya...
Ana hitajika mfanya Kazi wa ndani.
Eneo la Kazi ni Comoros
Kazi yake kubwa itakuwa kuwaangalia watoto wakati mama yao amesafiri.
Mshahara kwa mwezi laki 3
Ticket ya ndege na gharama za passport...
Naomba niende direct kwenye point.
Mimi ni mmojawapo niliefanya interview Wizara ya Ardhi kada ya Afisa Ardhi nikafika hadi oral, na nilikuwa miongoni mwa tunaosubiri placement maana tangu...
Habari za weekend?
Mimi ni msichana
Naombeni kazi ya kufanya usafi
Nyumbani, restaurant, bar shuleni,ofisini na kwingineko
Napatikana Dar es salaam ukinihitaji karibu pm pia nafatilia comments
Saludo,
Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi...
Habari za jioni,
Nipende Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uzima aliyoweza kunipatia.
Nikirudi katika mada ni usiku wa manane usingizi umekata kijana Mtafutaji nikiwaza hali ya maisha inaendaje...
Habari!!
Natafuta kazi ya kufanya kama muuguzi na mkunga nina diploma level kwenye hospital au dispensary sehemu yoyote kati ya kwanza, Shinyanga au Kahama.
Mwenye connection anisaidie tafadhali
Nimatumaini yangu JF wazima wa afya tele.
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatangaa nafasi ya kazi kwa wakazi wa Dar es salaam.
Mtu mwenye uzoefu na maswala ya ngozi (esthetician)...
Habr zenu wadau,km kichw knavojieleza hapo, kuna kaz ya usafi nataka niombe wa ktk vigezo vyao wanasema niwe na TIN number,kwhyo nawauliza wadau kwa yyte anaejua inakopatikana!! Na mchakato wake...
Yani leo katika pitapita zangu mtandaoni na ujobless wang nikasema ngoja nichungulie huku utumishi aisee hakuna tangazo la kazi hata moja aisee vijana tujiajili tu au tucheki private sector huku...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi...
Mwenye mahindi anayepatikana Mkoa wa Tanga tuwasiliane tuweze kufanya biashara. Ni mradi wa muda mrefu maana ni taasisi.
Mm nina wateja wanaohitaji unga mwingi na nina mashine zangu za kusaga na...
Natafuta dereva makini na mzoefu mwenye ujuzi na uzoefu njia ya kwenda Moshi achukue familia yangu tarehe 23 Desemba aipeleke Himo awaachie gari arudi DSm akitaka au aende Moshi.
Wife anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.