Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta...
Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen!
Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam...
Habari za mda huu wakuu.
Natafuta kazi ya sales and marketing Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye iyo sector
Nauwezo mkubwa wa kuongeza mauzo na soko kiujumla.
Let win the market together
0774214255
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika
Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia...
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Habari Wakuu!
Mimi ni Mechanical Engineer shahada yangu nimeipata mwaka 2017 katika moja ya vyuo hapa nchini. Tangu nihitimu nishajitolea katika makampuni/taasisi mbili tofauti, na kila moja...
Wakuu natamani sana kufanya ya call centre kwenye kampuni yoyote hapa Dar nataka nianze kusambaza cv zangu humo jee ni mambo gani muhimu ya kuzingatia?ni mambo gani l napaswa kuyazingatia ili...
Habari wadau wa JM Mimi ni kijana wa kitanzania npo Dar natafuta kazi ya kuchoma nyama kwenye hotel au restaurant.
Nina uzoefu mzuri na kazi hii .kwa ambae anatafuta mtu kwaajili ya kazi Kama hii...
Habari Member wa Jf
Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango
( Metrology and Standardization)
Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika...
picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma .
Any way tusubiri ripoti ya waziri.
Soma Pia: Waombaji ajira za...
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni muajiriwa katika kampuni ya mawasiliano hapa Tanzania, ili kutimiza majukumu yangu nahitaji vijana wawili ambao nitasaidiana nao katika majukumu hayo...
Wakuu natafuta sehemu yeyote ya kujitolea kufundisha hayo masomo, kama kuna shule inahitaji mwalimu nipo hapa kwasasa nipo Dar es Salaam
Soma Pia: Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha...
Hello everyone I have a Bachelor degree of Art with Education specialized in English and Kiswahili from University of Dar es Salaam
Nipo Dar es Salaam natafuta kazi ninao uwezo wa kufundisha na...
Habari,
Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022...
Habari, husika na cha habari hapo juu.
Mpishi anatafuta kazi, jinsia (Me).
Sifa:
Ana uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali vya ndani na nje, michemsho ya kila aina hadi ya mamba! ni mpishi mzuri...
Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na...
POSITION DESCRIPTION:
North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit four (04) Graduate Mechanical Engineers to join Underground Maintenance team. The successful candidates for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.