Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira
Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika...
Kama ulimaliza chuo ukiwa na miaka 24 ukatafuta kazi bila mafanikio miaka ikaenda ukafikisha 30
Baada ya hapo ukajiongeza kielimu mpka masters au PhD lakini ukaendelea kutafuta kazi mambo magumu...
Iko hivi
Kuna mdogo wa ex wangu kamaliza chuo mahali huu ni mwaka wa 3 au 4 kana sikosei.
Basi juzi kati hapo nikakutana na huyu ex wangu akaniambia kama ofisini kwetu au namjua mtu yeyote...
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa...
Wapendwa habari ya kazi?
Poleni na majukumu ,nina mdogo.wangu wa mwisho wa kiume alimaliza Udsm ,geography and Environmental degree yake akamaliza 2014 ,changamoto.ikawa ajira hakuna ametafuta...
Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo;
1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha
2...
Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo...
Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu baada ya kujiendeleza toka ualimu ngazi ya cheti,miaka 7 kazini,
baada ya kuona mambo hayaendi kabisa hapa kwenye ualimu kuna ndugu yangu kanishauri...
Habari, kijana wa kiume natafuta bajaji ya mkataba au hesabu iwe kwenye hali yoyote muhimu iwe inatembea.
Au mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kazi yoyote ya kufanya kwa sasa nipo dar
Elimu yangu...
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama,
Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa..
Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.
Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering...
Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane.
Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili...
Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu.
Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi.
Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe...
Salaaaam wana JamiiForums
Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye...
Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.