JOB HUNTING TACTICTICS
Kijana wa kiume unaetafuta kazi bila mafanikio usiache kupitia hii post.
Wanaume muda mwingine muache kuandika CVs ovyo ovyo Sometimes Save some money. Shiriki kwenye hizi...
Mimi ni kjana mwenye miaka 30+, nimekuja Dar kutafuta maisha kutokana na hali niliyokutana nayo mkoani.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ya halali nijikwamue kiuchumi.
Elimu yangu ni diploma.
VACANCIES
RECRUITMENT OF 19 REGIONAL POSITIONS
RECRUITMENT OF 19 REGIONAL POSITIONS
Closing Date
Fri, 10/28/2022 - 12:00
Background
The Southern African Development Community (SADC) is a...
Habari wakuu.
Naomba mnisaidie kazi
Elimu yangu Diploma Nursing and Midwifery.
Uzoefu wa miaka miwili Hospitali na Mashirika.
Nje na Fani.
Nimefanya biashara na kusimamia biashara za watu...
Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana
Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi
Tangazo la kazi...
Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza.
Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya...
Many greetings to everyone.
We are currently looking for Software Developers in Africa.
We welcome applications from all African countries.
Consideration will be placed on a...
Habari zenu wapendwa, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya uhasibu kwenye kampuni za mabasi makubwa anisaidie ndio nmemaliza chuo, nimefanikiwa kupata kazi ila sina mtu wa kunielekeza. Boss...
Habari wakuu,
Huu ni uzi ambao wadau wanaweza kuweka uzoefu wao ilikuaje siku ya kwanza kuingia kazini? Ulifika kazini muda gani? waliompokea walikuaje? Mambo yapi yalikufanya uzoee mazingira ya...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kidogo, kwa upande wako unashauri nini? Kazi mkoani (iringa) kwa mshahara wa take home ya 1M au kazi ndani ya dar es salaam kwa take home ya 700k.
Yote ni makampuni...
Mzuka,
Kindly refer the heading! Mimi John kimario kalungeyeye natakufa kazi yoyote Ile wakuu mimi ni mhitimu master degree in business administration kutoka chuo cha st. Stewart University cha...
Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu.
1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi.
2. Mwalimu mmoja wa...
Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc
Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam.
Ni mstaarabu na na mtunzaji...
Habari Wana JF.
Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k...
RFP: Salesforce Support Partner
January 2022
Who We Are
Girl Effect is a non-profit that builds media that girls want, trust and need – from chatbots to chatshows and TV dramas to in-person...
Kutokana na janga ya COVID-19, nchi nyingi zimefungua mipaka yake kwa wafanyakazi sekta ya AFYA kupata ajira, lakini Kutokana pia na changamoto za kutopata taarifa sahihi, tunashindwa kujua wapi...
Msaada mwenye connection na shule yoyote naweza fundisha nitashukuru hata kwa kujitolea ili mradi niwe napata posho kidogo haijalishi private au government, pia iwe secondary au primary...
Wadau napenda kuuliza barua za kazi kwa hawa jamaa wa uhamiaji tunatumia lugha gani sababu tangazo lao naona lipo kwa lugha ya kiswahili.
Je nikiandika kwa lugha ya kiingereza inaweza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.