Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa!
Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle"
Mfano; Agric tutor-crop science...
Wanahitajika walimu wawili wenye uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo:
1. Mwalimu wa somo la kiswahili mwenye uwezo wa kufundisha darasa la 3 mpaka la 7
Sifa: awe na diploma au degree, mwenye uwezo...
I have recently graduate at Mzumbe university taking Bsc in Production and operations management and i currently looking for job opportunities or internships.
As the production and operation...
Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye...
Naombeni kujua tuliokwisha kuwahi kushiriki interview za oral ya Tax management officer 2 maswali yepi huwa wanatoa na yanakua mangapi na unatumia takriban muda gani kuhojiwa? Ivo
Habari za wakati huu nduguzangu, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye maada.
Mimi ni mhitimu wa elimu ya afya katika Chuo cha Afya Kigoma 2022, level ni (CO) Clinical Officer, naombeni...
Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance.
Check me 0743303233 au 0673803233
Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika.
Je, kuna siri au ubaya gani kama...
Habari Ndugu zangu,
Nimekuja katika hili Jukwaa kuomba Msaada wa Kazi yoyote.
1- Specific Mission
2- Temporary
3- Permanent
Nina taaluma nyingi nitazigawa kwa makundi mawili.
1- Social studies...
Habari za mihangaiko,
Rudia kichwa cha habari hapo juu. Anahitajika msaidizi wa kike ambae sharti awe anaishi Kigamboni. Eneo la biashara ni Mikinda kwa Wapemba na Wamakonde. Maelezo zaidi inbox.
Habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi Morogoro nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi. Nina uwezo wa kufanya kazi tofauti na nlichosomea.
Asanteni
Mimi ni mhitimu wa chuo cha kati, nina diploma ya maendeleo ya jamii.
Naombeni mnisaidie kupata connection ya ajira yeyote ile ambayo ninaweza nikafiti kutokana na elimu yangu, napatikana dar na...
Habar zenu ndugu nina swali kuhusu kuwekwa kwenye database baada ya interview kwenye private sector.
Iko hivi, mtu kafanya interview baada ya mchujo akawa amefaulu interview ila akaambiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.