Mimi ni kijana wa umri Miaka 29, nimehitimu elimu kwa ngazi ya diploma ya maendeleo ya jamii nimetafuta ajira kwa muda mrefu tangu mwaka 2017 mpaka leo bila mafinikio yeyote.
Nimejitokeza kwenu...
Nimejitolea kwenye NGO moja inadeal na usawa wa kijinsia, wameniambia niandae vitu navyohitaji kujifunza kutoka kwao lakini mimi kwa kweli sina experience yoyote naomba kwa anaejua maswala ya NGOs...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika...
Umri 35+
Ujuzi: computer, English, counseling.
Uzoefu: kufundisha basic certificate course, Patron shule ya sekondari, kufundisha Kiingereza.
Kazi ninayoomba: yoyote inayoendana na hizo, iwe...
Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo.
A)Umri kuanzia miaka 18-25
B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi.
C) Awe anatokea Singida...
Habar
Mimi Nashighulika na Uchinjaji wa Nguruwe
Natafuta Tenda za Order ya Nyama ya Kitimoto Kwenye Mabucha Kwenye Majiko na Majumbani
BEI ZETU NI NAFUU SANA
Tunauza kwa bei ya Machinjioni...
Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
Naandika hili nikiwa na akili timamu kabisa tena bila kushinikizwa na mtu yeyote.
Niseme kiukweli nchi hii ishanishinda, natamani sana kuexplore nchi zingine za Kusini mwa Jangwa la Sahara njiue...
Kwema wakuu? Najua mafundi wa rangi siku hizi tupo wengi ila wenye kazi nzuri tupo wachache.mafundi wengi wanaharibu kazi kwa kulipua ilimradi wapate pesa wasepe.
Wengi hawafikirii kujenga jina...
HELASITA SECONDARY SCHOOL: JOB VACANCY ADVERTISEMENT
Helasita Secondary School is looking for highly qualified, and experienced competent teachers and support staff to fill the following...
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua...
Hello wana JF,
Jamani kiukweli soko la ajira kwa sasa ni gumu kilichobaki vijana tujiajiri lakini tutajiajiri vipi wakati hatuna mitaji,Mtu unakuta uko mtaani mwaka wa 7 huu na cheti chako cha...
Habari!
Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna...
Natafuta kazi za media kama tangazo linavyojieleza hapo juu
Ninatafuta kazi mbalimbali za media nikiwa na UJUZI wa mambo mbali mbali ndani na nje ya studio kama vile , usomaji wa habari, Reporter...
Nimeona tangazo la kuitwa usaili TRA waombaji watafanyia Written Interview kikanda katika mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Mbeya na Mwanza.
Ni mwanzo mzuri katika utekelezaji wa agizo la serikali...
Tutakuwa na zoezi la Usaili wa TRA kwa nafasi mbalimbali kuanzia tarehe 17 Disemba mpaka tarehe 08 Januari, 2023.
Usaili Huu utafanyika katika kanda nne ambazo zimegawanywa katika mikoa ya...
Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano.
Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
Tunatoa huduma ya kufua nguo Arusha kwa gharama nafuu. Huduma inajumuisha kufata nguo na kurudisha kwa mteja.
“Nguo ni kama mali nyingine zinahitaji uangalizi”
Karibu tukuhudumie, huduma hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.