Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP.
Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote.
License Class A, A2...
Habari wakuu,
Naitwa Khalifa Nassoro ninaishi Kitunda-Banana, Dar es salaam. Nimesoma Bachelors degree in Accounting and Finance (BAF) chuo kikuu Mzumbe, Morogoro 2021.
Nina umri wa miaka 25...
Mpo wanajf.
Kuna ndugu yangu ataka kuomba ajira za polisi si unajua njaa Kali! Amepita JKT akamaliza mkataba. Karudi kwao. Amesoma Hadi chuo Sasa anakosa usaidizi wa namna ya kuomba coz anasema...
Accountant
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Company Description:
Poltan Africa Limited is a leading provider of rental services for heavy construction equipment duly registered and incorporated...
Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga.
Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au...
Mambo vipi au niseme good evening.
Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali.
Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi...
Wakuu,
Habari za muda huu,
Natanguliza shukrani. Kuna dada anatafuta kazi. Ana Certificate ya Usecretary na Computer. Anatafuta kazi ya Usecretary au Stationery.
Nimeona niliwasilishe kwenye...
Habar wana JF mimi ni mkemia na pia ni mjasiriamali kindly nahitaji patner wa kuanza nae biashara ya vipodozi in a large scale.
Faida atakazozipata
*Mi mwenyewe na design formula za vipodozi...
Haya kwa wenye uhitaji wa ajira mkuje mtume CV zenu, pia kwa ambao watahitaji msaada wa jinsi ya kuandika CV mseme tuwasaidie.
Alafu, nawakumbusha waombaji ambao bado hawana CV zilizo ene...
Wakuu,
Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida
Huyu wa...
Ndugu wanaJF, kama upo Dar es salaam na una kazi yoyote inayohitaji mtu wa kusaidia, tafadhali naomba tuwasiliane. Iwe ni kufundisha watoto(msingi na sekondari), iwe ni manual works, iwe ni...
Habari wana JF,
Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar...
Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi...
Hello Candidates,
We have 2 position at Integral Tracking Limited for fresh from school candidates.
--
About us
INTEGRAL TRACKING LIMITED was established in 2012 and specialized in the provision...
Je, nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono?
Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.