Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo.
Kazi hizi ni: Production, Reservoir...
Naitaji kijana Mwaminifu na Mchapa kazi kwa ajili ya kusimamia stayionery
Awe amesoma na mzoefu wa majukumu ya stationery
Eneo: MBEYA MJINI,
Anaeitaji anicheck 0716854680
Anahitajika msichana mwenye uzoefu na uuzaji vifaa vya ujenzi awe mkazi wa Dodoma.
Sifa
Awe anajua kusoma na kuandika
Awe na uzoefu kwenye mauzo ya vifaa vya ujenzi
Mawasiliano :0712206032
NB...
Nisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?
Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching...
Habari, Naitwa Emanuel.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Niko mkoani Arusha kwa sasa.
Nahitaji msaada wa kazi yoyote ya mikono ambayo itanisaidia kuendesha maisha.
Niko tayari...
Habari za leo,
Tunahitaji Engineer wenye kampuni ya Civil Class 4 kwajili ya mradi wa kusambaza maji.
Kama una kampuni yenye sifa hiyo piga no 0674899696.
Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande.
Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam.
Kama upo njoo PM.
POST SUPPLIES OFFICER II – 1 POST
EMPLOYER The Agricultural Seed Agency (ASA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-08-16 2022-08-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To Assist supervision of...
Peking Healthcare limited,a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her...
Naomba kujitambulisha
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 kutokea mkoani Mwanza. Kwa sasa ninaishi Manzese jijini Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita. Sina familia na wala...
Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni.
Elimu yake:
Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo.
Uzoefu wa kazi:
Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni...
Naitwa nashon Joel nafuta kazi yeyote natafuta kazii
Elimu: Diploma in marketing and public relations
Other skill
1 Normal Computers skill
2 teaching ability masomo kama
Mathematics kwa...
Habari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam
Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu...
Habari..
Msininukuu vibaya na SIONGELEI WALA SIINGILII MIFUMO ya makampuni ila ni Maoni tu kama dereva kwasababu kuna vitu vinatukatisha tamaa sana baadhi ya madereva wenye uzoefu wa miaka 0-5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.