An experienced business subjects teacher for both O Level and A level is available for hiring.Very proficient in Commerce Book Keeping and Accountancy for both A level and O level respectively.Now...
Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao.
Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo...
Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 6, 8, 9, na 10 Aprili, 2019 na...
Mara ya mwisho nilipata Mtu humu akaniamini akanishika mkono na kunipeleka Porini/Hifadhini kwenye shughuli zinazohusiana na Utalii,nilijitahidi kufanya kwa uaminifu na kupata Exposure na...
Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya...
Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate...
Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa
Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks"
Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii...
The Board of Directors of Kairuki Health and Education Network (KHEN) is looking for a qualified and well experienced Tanzanian to fill the position of Vice Chancellor (VC) for Hubert Kairuki...
Wadau Leo jioni zmetangazwa nafasi za kazi WIZARA YA KILIMO, Sasa changamoto ninayokutana nayo na sijafanikiwa kuitatua Hadi Sasa ni kukataliwa kuapply..
Mfano kozi yangu Mimi inaitwa "General...
Naomba msaada, m nimetoka chuo mwezi wa nne mwaka huu VETA Shinyanga. Nina cheti kizuri na nina 4 ya 28 ya kidato cha nne. Naomba msaada kwa atakayekuwa na connection hata niwe msaidizi tu jamani...
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo...
Je, umezunguka sana huku na kule bila kupata mfanyakazi ambaye ni professional, kwenye nyumba yako au biashara zako ?
Je, umesumbuka sana na labda ulipata wafanyakazi ambao wamekupa hasara kubwa...
Habarini wadau na wapenzi wa JF na Mungu aendelee kutujaalia uzima na neema.
Mimi ni me wa kitanzania naishi Songea. Malengo yangu makubwa ni kulitumikia Taifa kupitia driving a car.
Bado...
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika,
Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview Usiku....ambapo mtu wa mikoa ya Mbali...
Wakuu habari....
.
Kuuliza sio ujinga... Nataka ku apply hizi nafasi za ajira katika jeshi la zima moto.
Ila sijaelewa, kwenye kipengele, cha jinsi ya kutuma haya maombi, ili yaweze kufika sehem...
Habari ndugu zangu...naombeni connection ya gari ya udereva mkoa wowote...na vyeti( certificate of secondary, veta advance driving) road license class C.. umri miaka 28.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.