2 Interns are needed for the period of 2 months shall be dealing with sales of training consultancy services with daily fixed allowance and commission on sales.
Kindly reach us on 0712066064 or...
Habari wana JF,
Kama ilivyokawaida Jeshi la zimamoto na uokoaji limetangaza nafasi za ajira kupitia website yao.
Baada ya kupitia baadhi ya sifa na vigezo vitakavyokubeba kupata nafasi nilipata...
Wakuu habarini? Poleni na majukumu.
Kama una mwanao au ndugu anahitaji kusoma likizo hii masomo tajwa hapo juu anaweza kunitafuta nimfundishe.
Kwa likizo hii nitakua DSM. Na nafanya home tuition...
Affluence Training Ltd (ATL) was established on 27th January 2016 based in Dar Es Salaam on 2nd floor Jannat Plaza- Mwananyamala Komakoma dealing with provision of training and consultancy...
CALL FOR APPLICATION (25 POST)
JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS
ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC)
DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS...
Habari
Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ...
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS, utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika?
Habar wakuu,
Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu.
Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia...
Habari zenu wakuu
Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia.
Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni...
Habari zenu wana jamvi.
Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari.
Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika...
Wakuu, narudi hapa nikiwa na ombi la kazi. Mimi ni kijana na Baba and matured enough,naomba kazi yoyote halali nisiue familia na njaa wazee! Being jobless is a stressful moment,na kila nikitazama...
Nimefanikiwa kuitwa kwenye nafasi ya Laboratory Scientist, Physical Chemistry, Open University.
Nilitaka kufaham kwenye nafasi kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani
Nawasilisha
MANUSCRIPT WRITING SHORT COURSE
12th to 17th January 2023 Dar es Salaam
Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Purpose: The purpose of this four-day short course is to provide...
Nakumbuka baada ya kumaliza chuo mwaka 2017 na kurudi mtaani harakati za kutafuta kazi zilianza...
Nilipata kazi ya kuagiza magari kutoka Japan kwa mda wa miezi kama sita kwa bahati mbaya kampuni...
Habari Jamii forum,naitwa Justine exavery. Elimu yangu ni kidato cha sita.
Nina uzoefu katika biashara ya uuzaji nguo na mambo ya mauzo pia naweza.
Nina uhitaji wa kazi ndugu,kama Kuna mtu anajua...
NAFASI YA KAZI KWA DIGITAL MARKETING AND CUSTOMER CARE OFFICER
TAREO (MIT & KIDT) inatangaza nafasi ya kazi mhudumu na masoko kwa njia ya teknolojia ( digital marketing officer )
SIFA.
√ Elimu...
Barrick Bulyanhulu Gold Mine is situated in northwest Tanzania, in the Kahama district of the Shinyanga region, approximately 55 kilometers south of Lake Victoria and 150 kilometers southwest of...
Samahani wakuu kuna Scholarship nimepata sehemu ila siyo full funded ni 85% funded...scholarship ni ya kusoma india ngazi ya masters. Sasa nahitaji kujua ikiwa siyo full funded it means kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.