Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Duh ajira zingine za moto imagine na degree yangu hii nikafagie na kufundisha nursery kwa mapatano ya mshahara wa laki na nusu duh aisee
12 Reactions
153 Replies
6K Views
Habari zenu, mimi ni mwandishi wa vitabu, natafuta mtafsiri wa vitabu vyangu kutoka Kiswahili kwenda lugha ya Kiingereza, malipo kwa makubaliano maalum. Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
4 Replies
608 Views
Gold City Company LTD iliyoko Geita Mjini inapenda kuwatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa kuomba kazi katika kada zifuatazo; 1. Daktari daraja la ii ( MD) nafasi 3 Sifa kuu...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Habari wakuu, Naomba mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje? Msaada please.
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Habari, anahitajika kijana mwenye certificate au diploma ya Clearing and forwarding. Kwa mwenye uhitaji atume VYETI kweny email hii hamishusna07@gmail.com NAFASI NI MOJA, OFISI ZIPO POSTA DSM...
1 Reactions
9 Replies
903 Views
Habari ya Jumapili, kwa mara nyingine tena nimekuja nahitaji vijana kwa batch ya pili,batch ya kwanza tayari wapo kazini.tunafanya website promotion on social media utalipwa kutokana na kaz...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari Wana jf..Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili kutokan na ratiba ya masomo yang kuisha mapema (saa nane mchana) mdogo wenu naomb Kaz yoyote Ile kuanzia mda huo mpka saa tatu au nne usiku...
1 Reactions
3 Replies
794 Views
TANGAZO LA AJIRA PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa Cheo – msimamizi MKUU na mtawala. SIFA muombaji...
2 Reactions
3 Replies
711 Views
Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua...
2 Reactions
9 Replies
568 Views
Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Bado nahtaji mfanyakazi wa kike wa kazi za ndani,,wa kufua kupika,,usafi wa ndan,na kuangalia watoto bas,watoto ni wakubwa wanasoma umri wao 4yrs &6yrs.mfanyakaz acje na mwanae au asiwe na mtoto...
1 Reactions
3 Replies
475 Views
Naitwa RABSON JOHN Naishi DAR ER SALAAM MABIBO NINA MIAKA 27 Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva. Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za...
10 Reactions
176 Replies
29K Views
Habarini, Naomba tujadili mada hii. Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa. Hivi kusingekuwa na wafanyabiashara miji yetu ingeendelea kweli? Ukifika...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada. Hawa jamaa zetu wa Arusha walitangaza nafasi ya kazi mwaka jana kwa nafasi ya assistant accountant. Kuna yeyote kaitwa kwenye interview...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwenu Secretariat ya Ajira. Mliweka Nafasi za kazi za MDA na LGA hapo July 2022. Wasaka Ajira tukajitosa kuomba Tena Kwa Gharama kubwa na Sifa mlizotaka zipo. Mrejesho toka kwenu ikawa Received...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom