Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi ni wakili WA kujitegemea mwenye uzoefu WA miaka 3 ninatafuta ajira katika ofisi ya wakili WA kujitegemea
6 Reactions
47 Replies
10K Views
Wakuu naomba anayelifahamu, vizuri hili shirika anieleze kidogo. Maana naonaga kazi zao Ila nkitaka kuomba nasita maana NGO nyingi kazi zao ni za kujuana
0 Reactions
5 Replies
636 Views
Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni...
0 Reactions
4 Replies
629 Views
Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni...
2 Reactions
0 Replies
489 Views
Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin...
2 Reactions
5 Replies
978 Views
Habari zenu! Naomba msaada wa kupata kazi ya udereva kumuendesha mtu binafsi au kuanzia gari ndogo, UBER au private, coaster za private au daladala yeyote ile kwa umakini na uaminifu. Nina leseni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni jamani ushauri kati ya hizo kozi Clinical dentistry (utabibu meno) na Clinical medicine (utabibu) nichague nisome nini kwa kuangalia upatikanaji ajira nchini sasa hv naomben ushauri wenu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MARKETING OFFICER JOB VACANCY About ECOACT Tanzania Limited EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
The Embassy of Switzerland / Swiss Agency for Development and Cooperation (SDC) is currently looking for experienced Driver Job Description / Responsibility - Drive Embassy/SDC personnel /...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kwa anaefahamu mishahara ya NGO ya save the children kwa Tanzania maana nimeona tangazo la kazi likitaka mwombaji ataje na mshahara anaotaka alipwe akiajiriwa
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari zenu wanajamvini, Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya mifumo ya ulinzi kama CCTV Camera, Uzio wa umeme, Mifumo ya alarm, Mageti ya kufungua kwa remote na vinhine vungi vya kiusalama usisite kunitafuta. Prosper Technologies.
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Barbershop ya kisasa ipo Kimara Temboni, Kinyozi mwenye sifa zifuatavyo anahitajika: 1.Awe na uzoefu wa kunyoa mitindo mbalimbali 2.Awe msafi/mtanashati. 3.Awe na kauli nzuri kwa wateja. Malipo...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Nina degree ya Telecommunication Engineering,CCNA (Routing ang and switching).Nipo vizuri sana ktk: Cisco • LAN switching configuration and troubleshooting.(VLAN,Intervlan,DTP,VTP,Etherchannel...
12 Reactions
124 Replies
23K Views
Wakuu. Kuna hizi nafasi 20 za Maafisa Wanyamapori zilitangazwa Mei, 2022, lakini mpaka leo hakuna shortlist. Shida ni nini au twende na msemo wa "Subira yavuta heri"
0 Reactions
11 Replies
922 Views
JOB ADVERTISEMENT To ALL qualified individuals, Please see below, the job advertisement under the Business Department. Job Title: NEO Sales Intern Position: Twenty (20) Job Grade...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari, Natafuta kazi. Naishi Mbezi Mpiji Magohe. Natafuta kazi ya saloon ya kike au uuguzi msaidizi (nurse assistant) kituo chochote Cha afya, au kazi ya USAFI nakupikia nakufulia nakuoshea...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom