Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Ndugu zangu kwa anaejua Taratibu zakuomba kazi kwnye hii kampuni ya GARD SECURITY WORLD mana nimengalia mtandaoni naona kingereza kingi sana afu nchi nyingi nimeshindwa kuelewa, Naomba msaada...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba kuni PM kwa yeyote ambae amewahi kuomba internship TaESA Nina maswali kadhaa ya kuuliza.
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Hellow, Habari zenu waungwana, Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo natafuta oda ya vyakula mbalimbali, nina uwezo wa kupika vitafunwa, chakula cha mchana, kutengeneza juice na vimiminika vingine...
1 Reactions
12 Replies
970 Views
Habari za ujenzi wa taifa wakuu. Hii ni kwa wakazi wa moshi pekee, nafanya biashara mchele pamoja na dagaa mafuta wa mwanza ambao ni grade 1 kwa bei nafuu. Mchele kuna packages(viroba) uzani wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MABADILIKO YA FIKRA KATIKA MRADI / AJIRA Nakuu! Jim Rohn aliwahi kusema “Haulipwi kwa sababu ya MUDA tunaotumia bali kwa sababu ya THAMANI unayotoa katika huo muda katika Mradi” (You are not...
2 Reactions
3 Replies
493 Views
Nimepata taarifa Sino hydro wamepewa tenda mpya kujenga bwawa jipya la umeme tanga he hii ni kweli? Nataka nichangamkie tenda
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hodi kaka na dada zangu, Naitwa Sarah, nina umri wa miaka 24, nina uzoefu wa Kazi ya duka la bidhaa za nyumbani / Retail shop. Mwenye nafasi au kama anafahamu mtu anayehitaji dada wa kazi ya...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
habari za wakati huu wakuu, kama kichwa cha maada kinavyojieleza nina jamaa yangu jinsia kiume,umri 29 years ana certificate ya tourism and hotel management anaexperience ya kufanya kazi sehemu...
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Najua JF KUNA kila aina ya watu nimekuja kuomba Yeyote mwenye ABC kuhusu huo ujenzi wa reli anisaidie jinsi ya kuomba kazi uko nk.
0 Reactions
4 Replies
390 Views
Geita Gold Mining ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Jina; Joseph .D. Migini Umri; 25 Elimu; kidato cha nne Natafuta kibarua chochote mahali nilipo MWANZA. Mawasiliano:- +255766604683 kwa meseji, simu au WhatsApp. Email...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Natafuta kazi ya ukondokta mabasi ya mkoani nina elemu ya certificate irrigation engeering pia naweza ongea lugha mbili za kigeni na nyumbani mbili nazo ni Spanish, English , kiswahili na kichaga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni. Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:- Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia...
6 Reactions
125 Replies
5K Views
MEDICAL DOCTOR (1) EMPLOYER: EL-OLAM SPECIALISED POLYCLINIC LOCATION: KONGOWE - KIBAHA QUALIFICATION AND REQUIREMENTS; Doctor of Medicine (MD), must have completed one-year internship...
1 Reactions
4 Replies
779 Views
Habari zenu ahsanteni wote mliokua interested na thread hii😊, nimerudi kuwajulisha tayari nimeshapata mtu. Kwa ambao mme ni dm will consider you kama ikitokea kazi nyingine, til next time💯
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari wakuu Mimi ni designer wa UI&UX za mobile Apps...sasa kuna mambo mawili ambayo yamefanya nije jukwaani kutafuta mtu wa marketing. 1) Wanunuzi wa designs zangu. Kama ambavyo producer huwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna maelfu ya watafuta ajira wenye vigezo ila wanashindwa kuhudhuria saili kwa kutomudu gharama zinazohitajika. Binafsi naamini ziko njia nyingi zinazoweza kupunguza sana ukubwa wa...
9 Reactions
203 Replies
7K Views
Wapendwa nawasalimu nyote, Wapendwa,Dada yenu nimeitwa kwenye Usaili wa English Language Test nafasi ya Protocol Assistant Jumatatu ijayo Ubalozi wa Marekani.Nafasi hiyo waliitangaza mwezi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom