Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 natafuta kazi Nina elimu ya mechanical engineering level ya degree
Napatikana dar es salaam kwa sasa
0656 548919
Details
Application deadline: 2018-11-03
Salary Range (Tsh): More Than 4,000,000
Business / Employer name: Cement Company
Company Industry: Manufacturing
Job Level: Management level
Work Type...
Job type: Full-time
Job Purpose
Mechanical Engineer Maintenance will be responsible to Identify and provide efficiency and output of all mechanical equipment through providing specialised...
Kuna watu wanamiili mikubwa
Muonekano hamna
Elimu hamna
Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli,
Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao...
Wakubwa,
Kuna jamaa angu amenigusia kuwa ana mpango wa kwenda kwa mganga ili apate ajira nzuri either serikalini au kwenye makampuni makubwa yanayoeleweka.
Amechoka kufanya kazi kwa wachina huku...
Habari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k...
Unaweza kuniunganisha na agent nikapata kazi ufundi umeme Qatar au Oman au falme za kiarabu mshahara wa miezi miwili nimalipo ya agant passport nitafuta Kwa gharama zangu WhatsApp me 0621264212
Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills"
Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills .
Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K...
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara.
Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza...
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.
Naanza...
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo...
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
Samahani Wana JF kwa walio na taarifa au walioko huko uarabuni
Nataka nikasome driving ili niombee kazi huko
Sasa naomba kuuliza ni madereva gani wanahitajika kama ni taxi au maloro naomba...
Habari wana Jamii forum
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninae patikana Chamwino dodoma, Nina uhitaji wa kazi yeyote au nafasi ya kazi kama legal officer
ELIMU
Nimehitimu shahada ya Sheria...
Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na...
Software Developer
We are looking for a skilled and enthusiastic Software Developer with expertise in Odoo to join our dynamic team. The successful candidate will focus on developing, customizing...
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.
Naanza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.