Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa...
AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika.
Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi:
1) Addo
2)...
Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259
Malalamiko ++255736005511/ 255679398259
Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo...
Poleni sana msiba mzito wa mtumishi mwenzenu kazi ya mungu haina makosa
Hongereni kwa kazi njema mnayoifanya ya kuwapigania watoto wa maskini nao kupata fulsa katika taasisi mbali mbali
Ila hapa...
Ni kweli hali ya ajira ni kitendawili kwa sasa na kwa miaka kadhaa mbele bado jibu linaweza kuwa halijapatikana hivyo fanya yafuatayo kama upo chuoni au mtaani umehitimu
1. Jitolee; piga kazi kwa...
Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza...
Habari wana JF
Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi...
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nipo mtaani kwa sasa sina kazi na maisha ndio jinsi yanavyoonekana mtaani hivyo ninaomba mwenye ana uwezo wa kunisaidia nipate kazi yoyote nitashukuru...
MSHAHARA UNAKUAJE,
Ukiwa na degree ya Ualimu Ukasoma diploma ya nursing ukaajiliwa kwa diploma ya nursing vipi mshahara unasomaje utalipwa kwa ngazi ya diploma au kwa ngazi ya degree nazungumzia...
Nafahamu fika naingilia makubariano ya watu, ila kwa jambo kama hili si sawa!
Anapika chakula, anafua nguo za watoto, baba na mama mwenye nyumba, kila siku kibarazani kunyoosha hizo nguo, usafi...
Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu?
Kuliko kila week au...
Habari wakuu naomba kuwasilisha hoja kua mshahara wa kiasi cha Tsh. 350,000 ni mkubwa mno kwa kijana anayeanza kazi na hajaoa.
Tunaomba serikali itupunguzie mshahara.
Hello!
Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri.
Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961.
Nipo...
Habari zenu wakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la mada yangu.
Mimi mi kijana wa kiume umri mwenye miaka 35. Nina degree ya Bachelor of Science in Information Technology (Bs. IT)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.