Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Pamoja na kwamba wengi hufikiria dereva anadharaulika katika utumishi na kuchukuliwa Kama kibarua fulani lakini linapokuja suala la upataji wa posho madereva wako vizuri huenda kuliko watumishi...
11 Reactions
33 Replies
9K Views
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Knowledge Management and Communication Officer (1 post) – TMSA The Officer will be responsible for all communication activities of the Project. Position Summary Ifakara Health Institute seeks a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baadhi ya accounts tayari. Tupeane tena mbinu kumpiga Kibanga
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao. Lakini cha kushangaza kuingia...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
0 Reactions
4 Replies
436 Views
Sales Representative
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema. Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyoelezea, anahitajika mtu aliebobea katika uandikaji wa wasifu wa kampuni( company profile), kwa ambae anauwezo na sifa za kuandika awasilishe maombi yake Kupitia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu wapambanaji.. Mimi nina hoja moja juu ya utumishi kutoa majibu ya written interview.. maana wanachukua muda kidogo halafu sasa majina ya shortlisted for oral interview au...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa katika bwana. Tumsifu Yesu Kristo. Assalam Aleykum. Habari ... Ndugu zangu naona Mwenyezi Mungu amefungua neema na mdogo wangu hajawahi kuitwa kwenye Interview ila hakukata tamaa...
4 Reactions
58 Replies
13K Views
Samahanini Jamani kwa anaefahamu mtu ukitoka interview oral utumishi, majibu yanakuaje? Kwenye account zetu pale panaandikwaje? Nisaidieni tafadhali.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Humu jamiiforums jamani Kuna watu hawapo serious kabisa yaani haiwezekani mtu uweke post ya ajira kwamba unahitaji mtu wa fani Fulani unaweka namba yako ukipgiwa hupokei au unakata au ukipokea...
2 Reactions
4 Replies
410 Views
Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu , mimkijana mweny umri wa miak 21 Nnaelimu ya advance ..kama kuna kazi naomba tujulishane wadau wa jf
1 Reactions
15 Replies
535 Views
Habari humu, naombeni mwenye connection ya ajira yoyote kwa Iringa mjini. Ni mama wa nyumbani natamani nitoke nikajishughulishe maisha magumu. Elimu yangu ni Degree
1 Reactions
3 Replies
419 Views
Habari naitwa Michael, natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mtu anatafuta dereva wa kumuendesha au kuendesha gari ya biashara yaani taxi kama Uber au Bolt, nipo na leseni ya class C au kampuni...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tenders are invited for the construction of the boundary wall at Moshono Campus Arusha,-Tanzania. Interested bidders must first visit the site at Sisia Campus and sign the construction guideline...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
JOB ADVERTISEMENT To ALL qualified individuals, Please see below, the job advertisement under the Business Department. Job Title: NEO Sales Intern Position: Twenty (20) Job Grade...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom