Tunahusika na kufanya usafi nyumbani, ofisini, ukumbini na popote pale panapohitajika. Gharama za usafi wetu zinategemea na ukubwa wa eneo, pia kama unasumbuliwa na wadudu wasioisha tunaku-connect...
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo dar ubungo natafta ajira yoyote ambayo itakuwa inaniingizia kipato kwa siku......ili kukidhi mahtaji yangu na familia yangu...
Elimu yangu ni kidato cha sita arts...
Habari wana jamvi..naomba ku-share jambo juuya uandishi wa CV.
Nimebahatika kuwa mmoja wa watu wanaopitia CV za watu wengi sana, waliopo kwenye ajira na wasio kwenye ajira. Nilichokigundua kuna...
FINANCE OFFICER JOB VACANCY
About EcoAct Tanzania Limited
EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste...
Ndugu zanguni Kama kunamtu humu anakonektioni kwenye kampuni yoyote iliyopo kwenye mgodi wa makaa ya mawe ruvuma anisaidie Mimi ni welder lakini sijui pakuanzia nahitaji msaada nataka nikafukuzie...
Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50.
Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
Habari
Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
Wakuu habari za wikend!
Wakuu baada ya Mh, Raisi Magufuli kuruhusu shughuli na miradi ziendelee , Nime Jaribu kutafuta riziki kwenye miradi ya ujenzi inayo endelea hapa Dar bila mafanikio...
Habari za muda huu wadau.
Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu.
SIFA
Awe na ADO
Awe mwaminifu
Awe mwadilifu
Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi
Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora...
Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie
Waraka huo unazungumzia:
Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma
Mara nyingi nafasi za...
Baada ya HR kusema hayo alitutoa nje ya ofisi yake,
Hapo nikajiuliza kitu.
Hivi yule "Dada Kulwa" alivyokuwa ananiambia kuwa amefunga kutoa vibali siku ile nilipofika na mimi kumkubalia hiyo...
Position: Loan Officers (LO’s) -100 Posts
Job Responsibilities:
To build and maintain a substantial and high-quality loan portfolio.
To conduct members recruitment and screening.
To orient...
Habari wakuu,
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.
Kama upo...
Habari wanaJf.
Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye...
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.