samahani wakuu kuna kada mbalimbali zimetangazwa na SADC kupitia utumishi, naomba kufahamu, application letter unaandika address kuelekea kwa anunani gani.
Nashukuru.
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email...
Mimi ni fundi wa magari upande wa body & painting, ninakusudia kwenda moja ya hizo nchi kujaribu bahati yangu.
Ombi langu kwenu ni juu ya ufahamu wa hizo kazi kwenye hizo nchi soko lake lipoje...
Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana.
Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata...
Mwenye anaejua nafasi za kazi kwa kozi ya production and operations management na ina husika na nini zaidi, lakini pia mhitimu atafanya kazi wapi endapo akimaliza.
Nimemaliza diploma ya journalism and mass communication (2020) mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana.
Ama kibarua...
Sales Force Executive
Position: Sales Force Executive
Job Location: Dar es salaam,
Bic Unit Insurance was established in August 2013, as the first locally incorporated Insurance Company...
Nimemaliza bachelor degree of education in history and kiswahili language (2019)mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana...
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitarajia kutiliana saini ya makubaliano ya mwisho kabla ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na usimikaji gesi asilia (LNG) wenye thamani ya Sh70...
Ilikuwa ni mwishoni mwa mwezi wa sita na tarehe ya mwisho ya maombi ilikuwa tarehe 8 Julai, 2022.
Hadi sasa sina taarifa yeyote juu ya walioitwa kwenye usahili, nilikuwa miongoni mwa walioomba...
Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics
Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili...
Wakuu kwema?
Tarehe 27 mwezi huu nimeitwa interview mbili kama ifuatavyo;
Saa 2 kamili asubuhi natakiwa kuwa Iringa University mkoani Iringa kufanya usaili wa kuandika ya nafasi ya Uhasibu...
Hello I am looking for a job, my professional is production and operations manager with experience in engineering drawing using Autocad software, maintenance, workshop management, logistics...
COMMUNITY RELATIONS MANAGER-NGARA
Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit Community Relations Manager to join Tembo Nickel Project Team. She/he will have full responsibility for the...
Ni kiwanda kidogo kinazalisha bidhaa na kusambaza. Kwaiyo anatafutwa kijana mwenye ushawishi wa kuuza bidhaa pamoja na uzoefu wa kazi za mauzo. Malipo kwa commision ila utapewa usafiri au nauli...
Habari za kazi wapendwa...
Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana
Kabla sijajiunga nna...
Habari zenu wana jukwaa nahitaji kumhamisha mke wangu yeye ni mhudumu wa afya yupo hospital ya rufaa Mbeya kama kuna mtu humu jukwaani ana ndugu au rafiki anaetaka kuja Mbeya kwa kubadilishana...
Napenda kujua kwanini walimu hawaitwi kwenye usahili, ajira zikitoka wao hutuma maombi na kuitwa moja kwa moja kwenye kazi kwa wale waliofanikiwa kupata, kwanini na wao wasifanyiwe interview?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.