Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada nikitaka kufu My academic qualifications ajira portal nafutaje???
0 Reactions
3 Replies
592 Views
Habari za mda huu ndugu zangu,mimi ni mwalimumwenye shahada ya masomo ya chemistry na biology, natafuta nafasi ya kufundisha shule yoyote sehem yoyote tangu nimehitimu chuo 2018 mambo hayajawa...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Uwe na uwezo wa kufundishaa yote matatu pre form one. Npigie kweny number 0683669735
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Natafuta Fursa mm Ni Mchoraji, Nafanya Graphic Designing, nFanya na hand craft mbali mbali WhatsApp namba zangu ni +255686906075 +255742954345
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Wanamedani pdf hiyo
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Kibosho -mweka kilimanjaro inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia vinywaji na chakula ( service). Waombaji wawe jinsia ya kike , wakazi wa Kilimanjaro wenye ujuzi...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Wakuu naombeni maelekezo juu ya hili, mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi baadae nikaacha kwa hiari yangu, kwenye account yangu ya NSSF kuna kiasi changu kadhaa cha pesa, sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu poleni na majukum Mimi mtalaam wa maabara ngazi ya cheti Nina licence PRP naomba kazi au mwenye connection na kazi katika hospital au sehemu nyingne simu 0682333100
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa JamiiForums, Nina ombi kama kuna mtu yeyote anaeweza kunisaidia kupata internship kwenye kampuni yoyote ile ya Electrical Technician anisaidie. Au kama una kazi yoyote...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
mimi ni fundi wa finishing nikijihusisha na blandaring gypsum dizain kufunga pvc body dula vent skiming kupaka rangi pamoja na tv kebinet. napatikana Dar es Salaam
1 Reactions
1 Replies
805 Views
Vacancy title: *Sales & marketing officer (Full time) – Experienced. Jobs At: *Fair travel safaris Ltd, Dsm (A Tour Company). Job Brief: *Fair travel Safaris is looking for experienced, sales...
1 Reactions
1 Replies
871 Views
Habari naitwa Daniel, ni dereva mwenye uzoefu, muadilifu, mchapakazi, mtunzaji wa chombo na muaminifu. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya mtandaoni Uber, Bolt, Paisha, Moovin, InDriver either...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
1. Utangulizi Flydream Company Limited ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2019. Ni mujumuisho wa biashara zinazotoa huduma mbalimbali ikiwemo mafunzo ya Udereva, huduma ya ufundi Magari...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Reports To: Incharge of Weighbridge Unit Duty Station: Mwanza, Tanzania Terms of Service: Contract Terms of Three (3) years, renewable subject to satisfactory performance, efficiency and...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Ninahitaji wa hudumu wa bar, bar ipo wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma inaitwa MKUSHI PUB kwa aliye tayari anicheck 0744491978.
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari Nimeona nianzishe uzi huu tufahamishane kwa wale wapambanaji na wale ambao bado tunasubiri kufikiwa na ajira hususan kwa wale wanaoishi Jijini Dar es salaam, Je untumia mbinu gani kumudu...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom