Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kwa wale walioitwa interview Naot njooni tupeane maujanja namna ya kupita written na possible Questions
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Aisee hii kitu imekaaje? Tume ya utumishi wa umma ijitahidi kuajiri wafanyakazi wa kutosha.. Ona sasa wanatumia muda mrefu sana kuita watu.. na wakiita wanaita kwa mkupuo..vuuuuup mpaka mtu...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Habari za usiku wadau.. Hivi mnaionaje ratiba ya pdf ya leo iliyotoka maana nimeiona inaumiza sana kwa baadhi ya kada na inakost sana. Kwa mfano kuna kada interview inafanyika tarehe 28...
1 Reactions
1 Replies
615 Views
Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani National auditing office of Tanzania(NAOT) wanaotakiwa kufanya usaili majina yametoka, haya hapa chini. https://www.ajira.go.tz/baseattachments/interviewattachments/200607090713TANGAZO LA...
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Habari ndugu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa mdogo wenu nilikuwa na maswali machache kama kuna mtu anajua jinsi intern za kampuni ya Knauf Gypsum Tanzania Ltd. Kuanzia malipo na taasisi kwa...
1 Reactions
8 Replies
980 Views
The salaries for product, engineering, and other technical roles included: Algorithm Engineer: $204,000 Android Software Engineer, Central Product Platform: $295,000 Android Software Engineer...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali imekuwa na matamko mengi Sana Kuhusu kufanyika kwa usaili wa watafuta Kazi kwenye Mikoa yao au Kanda.. Ifike mahala haya matamko yakome na viyendo vionekane Ili kuwapunguzia gharama...
1 Reactions
6 Replies
675 Views
Wakuu kwema humu ndani... nina kazi chache hapa chini kama sample tu nilizofanya. Kama kuna mtu ambaye anavutiwa na masuala yanayohusu tasinia ya burudani katika sector yeyote ile, basi nahisi...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Habari za muda huu wanajamvi? Nimebahatika kuitwa kwenye usahili wa nafasi tajwa hapo juu, lakn changamoto n kuwa hii n mara yangu ya kwanza kwenda kufanya interview za utumishi, naomba mwenye...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wakike, nina umri 23, elimu yangu ni kidato cha nne, nina diploma ya Secretary, natafuta kati ya kazi hizi zifuatazo. [emoji117]Secretary [emoji117]Duka...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi. Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napata taarifa kuna vikazi huko kwenye kata na manispaa kwa ajili ya kusajili makazi .ila hizi zinatoka kimya kimya mno walio kwenye magrupu yale ya sensa na postcode wanalijua hili.Na wameshaanza...
0 Reactions
4 Replies
662 Views
Habari za jukwaa la ajira na tenda. Nimepata tetesi za uhakika kutoka mamlaka ya TPDC kuwa kuna mradi wa utafutaji wa mafuta na gesi mkoa wa Rukwa utaanza mwezi wa sita. Vijana changamkieni...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari. Upo mbali na mkoa wa Dar es Salaam na: 1) Kuna ishu unataka mtu aisimamie /aifatilie au aifanikishe on your behalf? 2) Kuna bidhaa ungependa itafutwe/ ipatikane/ na utumiwe mkoani? 3)...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Ndugu zangu natafuta ajira ya kuendesha maisha. Sehemu yoyote nafanya kazi kwa ujira mdogo tu wa laki 3, kwa mwezi. Nipo full official documents. My whatsapp 0743622480
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom