Huu uzi ni mhimu kwa mwenye mapenzi mema na watakaofuata watusue tusu la usaili.
usiogope kutupa tips za nini umekutana nacho wakati wa kusailiwa, Maswali, uzoefu na taratibu zingine.
Ndugu kuwa...
Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa...
Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli...
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata...
Habari wakuu.
Mimi ni dereva wa Magari makubwa Kama Scania ,Faw .n.k
Nimekuja hapa kutafuta Ajira au Kazi Kwa wamiliki wa maroli .
Nipo na uzoefu wa kutosha wa jumla miaka 8
Namba yangu ya...
Hello ndugu zangu, mimi ni jinsia (ke) nina miaka 25 nina shahada ya lishe (2022) lakini pia nina uzoefu wa kufanya kazi za miradi ya afya na lishe (nimefanya intern kwenye miradi hiyo kwa muda wa...
Life can humble you. Hili ndo limenitokea
Wakuu nimekuja kwenu kuomba kazi ya udereva bodaboda.
Mwenzenu ni kijana wa kitanzania ninaishi mkoa wa Dar es Salaam Kimara. Naomba mwenye bodaboda na...
Kwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani.
Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa.
Je, kuna ukweli katika...
Mambo yanakwendaje wadau kwa mtu ambae tiyari ni degree holder na ana passion ya kwenda jeshi ni umri gani wa juu wa mwisho jeshi Lina chukua recruit!
Na kama huna cheti cha Jkt je mafunzo ya...
Habari za leo ndug zangu hope mko poa, Nina habar njema natafuta Wakalimani(Translators) wanaojua lugha ya kichina vijana kama sita ivi kazi yao kutafsir watakuwa na hao wachina ambao hawajui...
Jamani Kuna anaewajua Chaka force security? Maana Kuna Uzi nimeupitia naona watu wanalalamika kuwa kazi ya ulinzi wengine hawalipwi wengine wanapewa laki Moja Yani balaa tu.
Mi naomba kwa...
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira...
Whether you’re looking for a government position, a private-sector job, or an internship, numerous online platforms help you find your ideal job.
With that out of the way, here are the leading...
Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima...
Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto...
Kwema wanajukwaa? napenda tutumie uzi huu kushare mambo mbali mbali yanayohusu utalii kama vile nafasi za kazi za utalii, mbinu na tecknolijia katika sector hii ili kuwezeshana na kubadilishana...
Habari wakuu,
Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta...
T.M.J. Hospital, a renowned healthcare institution in Dar Es Salaam, Tanzania, is committed to delivering exceptional medical care, focusing on preventive medicine, health, and wellness. With its...
Leo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa.
Kwanza getini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.