Habari Ndugu zangu Wana jF naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha
1.Usajili wa kampuni ya utalii
2.Vigezo ili uweze kusajili kampuni iyo
3.Masoko...
Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia...
Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF...
Habarini wana JF
Natafuta kazi maeneo ya Moshi.
1. Stationery
2. Supermarket
3. Sheli
Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu
Naombeni connection
Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
Habari zenu ndugu zangu! Habari zenu tena!
Nimeshiriki kuangalia applications kadhaa za watu kutoka Afrika kuja US hasa wanaotaka kuja aidha kusoma au kufanya exchange program. Jambo kubwa...
Jamani mm ni mtumishi niliyehamia wilaya ya wanging'ombe bila exchange na mtu yoyote lakini maafisa elimu msingi wa pale hawtaki ueleze chochote wanafosi kukupanga wao hivi nimepanhiwa ndani...
Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
Kijana anatafuta Kazi au kibarua Kwa sasa yupo Dar es salaam.
Sifa zake hizi hapa
Umri miaka 20
Jinsia ME
Aina ya Kazi .
Kazi Kama za jikoni anaweza kufanya mfano katika pub n.k
Kazi Kama...
Habari ya Jumapili wana JF.
Natafuta ajira/Kazi nimesomea Human resources Kwa level ya degree.
Nipo tayari kufanya Kazi mkoa wowote
Kuhusu Mimi
-Mchapa Kazi
-Mtu wa kutoa matokeo
-Na mbunifu...
Habar Wana jukwaa,
Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani,
Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila...
umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa..
Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye...
Habari wana JF
Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa
Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na...
Minimum Qualifications
• Diploma in Marketing/Sales. Bachelor’s Degree in Marketing/Sales will be an added advantage.
• 3+ Years of Similar Experience.
• Languages: Kiswahili and...
Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo...
Habari!
Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.