Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kichangani Garden & Resort We are Hiring a Bartender to join our team at Kichangani Garden & Resort . Send Your Resume to kichanganigardenandresort@gmail.com Deadline for Application is on 31...
2 Reactions
0 Replies
147 Views
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Angalia email yako uhamiaji washatuma mapema sana wakuu, interview trh 13
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Haki na Wajibu wa Mtumishi wa Umma. Mtumishi wa Umma una wajibu wa kutumia elimu, ujuzi na bidii katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Kadhalika una haki na stahiki mbalimbali unazopaswa kuzipata...
12 Reactions
19 Replies
6K Views
KWA ISHU ZA REAL ESTATE NA AUTOMOTIVE TUPIGIE TUKUSAIDIE 0772959929
1 Reactions
0 Replies
137 Views
Habari zenu Human Resource Officer anahitajika Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti Mahali pa Kazi: Dodoma. Anahitajika HR mwenye uzoefu wa kufanya Kazi viwandani. Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza...
5 Reactions
1 Replies
252 Views
Mimi nasikia tu kuwa Zanzibar Kuna kazi nyingi za ulinzi, kampuni nyingi nimewatafuta ila vigezo vyao wanataka mtu alopitia mafunzo ya mgambo au jkt. Sasa ikiwa Kuna mtu yoyote anaijua kampuni...
2 Reactions
6 Replies
465 Views
Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe. Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu...
5 Reactions
33 Replies
853 Views
Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary Natanguliza Shukrani
0 Reactions
8 Replies
368 Views
Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu? Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Asanteni Nimeshapata!
6 Reactions
80 Replies
2K Views
Habari zenu,heri ya mwaka mpya wapendwa. Mimi ni mdada mwenye degree ya accounting na nina uzoefu kwa zaidi ya 5 years.Niko vizuri sana kwenye tax compliance zote za TRA na za serikali kama...
4 Reactions
5 Replies
269 Views
Mahali: Kazi ya Mtandaoni (Remote) Kampuni: Online Profits Nafasi: Wakala wa Mauzo KUHUSU ONLINE PROFITS Online Profits ni kampuni ya e-learning inayolenga kusaidia wajasiriamali wanaotaka...
4 Reactions
32 Replies
858 Views
Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED P.O. BOX 30112 KIBAHA - PWANI Simu: 0656 166 742 Barua pepe: eshodmang23@gmail.com ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa...
2 Reactions
6 Replies
228 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila...
2 Reactions
0 Replies
209 Views
Aliefanikiwa kuapply hizi nafas za kazi za ajira nmb naomba anisaidie kila nikijaribu website yao inaload tu.
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent . 1. Maswali common yanayoulizwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom