Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa.
Sasa...
Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja...
Hellow guys nimatumain yangu wote wazima na pia tunamshukur mola kutupa mwaka mpya
Jamani mimi natafta kazi ya kufanya iwe n kiwandani iwe n kushusha mizigo au kazi ata ya ufundi.
Nipo tayari...
Ndio hivyo tena hii ni 2025 ....
Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah.
Nyie endeleeni kutusagia kunguni...
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote
ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n...
Habari za muda huu
Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kazi bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayari hata kuendesha gari binasfii Niko tayari naomba ushirikiano wenu...
Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika
Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D
Nipo tayari kufanya kazi mkoa...
Join GreenLife Microfinance Ltd as a Loan Officer/Relationship Officer at our Dar es Salaam Branch (Summit Building, 3rd Floor, Mnazi Mmoja - Kariakoo).
💼 What You’ll Do:
✔️ Identify and assist...
Mtihani unafanyika kwa njia ya kidigitali, cha muhimu unatakiwa ufike kwenye kituo utakachopangiwa siku ya interview mapema kabla ya saa 1 asuhuhi maana huwa kuna heka heka za hapa na pale...
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea.
Natembea kilometa 10...
Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu.
Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya...
VACANCY: DIRECT SALES AGENTS
SimbaNET (T) Ltd is part of, “The Wananchi Group” and one of East Africa’s leading Internet, Data & Communication Solutions
Provider.
We are looking for several...
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k
Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba...
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :-
1. Graphics Designing and Printing
2. Data Entry
3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission)
4...
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani .
Yupo Dar DSM
Kuhusu yeye
Ana age 18
Darasa la saba
Anatoka Mtwara vijijini
Dini yake Muslim.
Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.