Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Msichana wa miaka 25 anatafuta kazi yeyote ya halali elimu degree ya ualimu, lakini anafanya kazi yeyote mama lishe, restaurant, usafi yaani yeyote ile ya halali ambayo mwanamke anaweza fanya hata...
3 Reactions
20 Replies
479 Views
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff. 1. Maswali common yanayoulizwa...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login...
3 Reactions
11 Replies
239 Views
Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Inavyoonekana USAILI wa mchujo kunaweza kuwa na computer.
3 Reactions
10 Replies
862 Views
Serikali yetu inachapa kazi kwa kasi sana!
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express...
12 Reactions
19 Replies
979 Views
Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa...
5 Reactions
4 Replies
862 Views
Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
5 Reactions
7 Replies
482 Views
Waungwana, nina siku 7 za kujiandaa na usaili wa utumishi kada ya Afisa maendeleo ya jamii daraja ii. Naombeni mnisadie baadhi ya maswali ya written ili nichanganye na yangu nisonge mbele...
3 Reactions
29 Replies
13K Views
Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Naombeni kazi ya ndugu zangu nina uzoefu wa bima angalau kwa miaka 3 kama kuna mdau ana broker, agency n:k
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii...
2 Reactions
2 Replies
365 Views
Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa...
2 Reactions
8 Replies
560 Views
Wakuu habari, Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
SEZARI AQUACULTURE SERVICES iliyopo ndani ya jiji la MWANZA, inakuletea Huduma bora za ufugaji Samaki( viumbe hai Wa majini), tunatoa Huduma zifuatazo: uchaguzi Wa eneo la kuchimba bwawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile...
8 Reactions
20 Replies
632 Views
Elimu yangu, nina shahada ya archaeology& geography naweza fanya kazi katika fani hiyo, ama kazi nyingine tofauti na fani hiyo Napatikana Mwanza ila niko tayari kufanya Kazi sehemu yoyote
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. ...
4 Reactions
12 Replies
928 Views
Back
Top Bottom