Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26.
Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi...
Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie.
Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira...
LinkedIn imekuwa jukwaa muhimu kwa wataalamu kuungana, kushiriki maarifa, na kutafuta fursa za kazi. Hata hivyo, jukwaa hili pia limekuwa uwanja wa kuonyesha mafanikio bandia, ambapo watu...
Ndugu zangu kwa manufaa ya wapambanaji wote .
Mimi sio mmilisi wa lugha kwahiyo kwenye mapungufu tuvumiliane zaidi naamini ujumbe utaeleweka .
Leo nimeamua kushare hili suala na watanzania wezangu...
Habari,
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza...
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu.
Nipo temeke dar es...
Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU)
TITLE: MR
PROFESSION: ECONOMIST
EXPERIENCE: FRESH GRADUATE
LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM
Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata...
Mpharmasia, mwenye cheti kinahitajika Kwaajili ya biashara ya pharmacy.
Pharmacy ipo dar es salaam
Biashara ni mpya ndy inaanza
Call or Whatsapp
0767091177
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 26
Jina ni Innocent Nyakunga
Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini.
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya...
Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira...
POST ASSISTANT CUSTOMER SERVICE OFFICER II – 10 POST
EMPLOYER Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
APPLICATION TIMELINE: 2024-11-29 2024-12-12
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i...
WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam
Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi...
Wapendwa naomba kuulizia mishahara wanayopewa watu wanaofundisha katika vyuo vya serikali vinavyootoa certificate na diploma, kiasi gani pamoja na motisha nyinginezo!?
Affluence Express Ltd ni Kampuni inayotoa huduma za kusafirisha vifurushi na mizigo Tanzania, ipo Ghorofa namba 20 jengo la PSSSF Millennium Tower II Kijitonyama - Dar Es Salaam. Tuna karibisha...
Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy .
Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika.
Ana umri 28
Hana familia
Elimu darasa la saba
Uzoefu wa kulima , kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.