Mimi nikijana Nina umri wa miaka 25, nimhitimu katika chuo cha Bandari college mwaka 2022 katika fani ya Freight Clearing Forwarding and Port Management.
Nina uwezo na uzoefu wa kufanya kazi hizi...
Habari wakuu Mimi shida yangu kubwa umu ndani NI kutaka kujua vyeo vyao kijeshi vya watunzaji misitu au Tanzania forest service vipoje kuanzia vyeo vyao Askari mbaka maofisa maana nimeona...
Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya...
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.
Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe...
Habari naitwa Hassan Msham, Mkazi wa Gomz Dar es salaam, Elimu kidato Cha nne, NILIKUA naomba MSAADA Kwa yeyote mwenye bajaj au anaefamiana na mwenye bajaj na anataka dereva, nipo hapa kijana...
Habari za asubuhi
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mfanyakazi HR awe mwanamke na anaishi mkoa wa Lindi.
Elimu ni certificate au diploma
Mshahara
400,000
Naomba kusisitiza awe mwanamke na...
Majeshi ya ulinzi na usalama hutangaza nafasi za kazi kama taasisi nyingine. Mathalani Jeshi la polisi, JWTZ, Kikosi cha zimamoto, Uhamiaji, etc wamekua na kawaida ya kutangaza nafasi za mafunzo...
Ndugu zangu napenda kujua hivi inakuwaje kwenye mfumo wa ajira portal nilifanya application nikawa shortlisted nkaenda written na oral nikaenda sasa ile application nilifanya sahivi kwenye ajira...
Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI
1. Sifa za Kitaaluma
Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani.
Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu...
Habari,
Natafuta Kazi ya Stationery. Nina cheti cha Computer na nina uzoefu wa Kazi ya stationary and internet cafe kwa muda wa miaka 6. Mkoa;- Dodoma, Dar es salaam na Iringa.
Mkoa ninao ishi...
Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu.
Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli.
Licha ya hapo nina elimu ya heavy...
FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE)
Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online.
VIGEZO NA MASHARTI.
1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30...
Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo.
1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma...
Za saizi wakuu!
Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.