Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Anonymous (024e)
Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo. Hili ni tatizo limekuwa...
2 Reactions
4 Replies
304 Views
Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu...
2 Reactions
13 Replies
512 Views
Vote code na sub vote kwenye salary slip ni nini, naipata wapi? Mlioajiriwa siku nyingi msaada tafadhari.
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda...
3 Reactions
7 Replies
650 Views
Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi...
2 Reactions
2 Replies
608 Views
Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
1 Reactions
3 Replies
172 Views
Habari wanaJF Mimi ni kijana umri miaka 21, elimu kidato cha sita na nimefanikiwa kusoma chuo kikuu mpaka mwaka wa pili na nimeacha mwaka huu kutokana na changamoto za maisha. Nimekuja kwenu...
2 Reactions
1 Replies
219 Views
Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia...
5 Reactions
7 Replies
432 Views
Habari wadau Mimi ni mtaalamu wa maabara ngazi ya Diploma na nina uzoefu wa kutosha katika fani hii. Naomba kazi ya muda mfupi(part time) kipindi hiki cha sikukuu kwa mwenye uhitaji au unayetaka...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa...
1 Reactions
4 Replies
537 Views
Habari za jion wa wakuu, Leo nimejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye account yangu ya NSSF imekuta claim status imeandika pending hii inamaana gani? Na ni takribani wiki ya nne...
0 Reactions
9 Replies
618 Views
Naomba kuuliza Mishahara katika NGO Hizi ICAP Ni shingapi? Nafasi ya ART NURSE Naomba kuuliza kwenu Licha ya kusikia Kuna changamoto ya kulipwa pesa ningependa kujua wanalipaje? Na wanamishahara...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 333 vacant posts...
5 Reactions
171 Replies
54K Views
Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari, mimi ni kijana mzoefu katika biashara ya tax mtandaoni na nina account active natafuta boss mwenye gari tufanye biashara asante. Mawasiliano yang: 0713458555 Mdullanicholous@yahoo.com
0 Reactions
9 Replies
498 Views
Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni...
8 Reactions
1K Replies
79K Views
zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
0 Reactions
8 Replies
898 Views
Moja kwa moja kwenye uzi ,, Ni zaidi ya siku tano sasa zimepita toka utumishi wasitishe sahili zote za walimu. Lakini utumishi wameyafanya haya bila ya kutoa sababu zozote zile kwa walimu ...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom