Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua...
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli...
Prime Zone is looking for Marketing & Logistic personnel in:
01. Sales And Marketing Officer– Dar es salaam (03 Positions)
WORKING STATION: DAR ES SALAAM
Job Type: Full-time.
Key responsibilities...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa...
Habari wakuu
Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI??
Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
Rejea kichwa Cha habari hapo juu
Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa ..
Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu ..
Serikali ya Samia bila...
Habari waungwana...
Nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni barabara ya Tabata kinyerezi. Ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu bei ya mwanzon ilkuw ni ml 11. Umbali Toka main road ni dakika 5 tu.. ni offer...
Habar ndugu zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania, nimekuja kwenu ndugu zangu ili nipate ajira iwe ya kudumu au mkataba .
Nina Bachelor Degree ya Environmental Health Sciences
Pia naweza kufanya...
Habari wana forums,
Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/J0/51 17
th July, 2019
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA)...
Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya...
Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na...
Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi
Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea
Msaada...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.
Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.