Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Habarii......natumai kila mtu ni mzima na anaendelea na upambanaji ili kujipatia mkate wa kila siku. Naombeni msaada wenu kujua kuwa tangazo hili[emoji116][emoji116] la ajira la TRA ni la kweli...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari. najitokeza kwenu kijana wenu kuomba connection ya kazi. Mimi ni mkazi wa kibaha ni Muhitimu wa Bachelor degree of adult education and Community Development chuo kikuu dodoma. Nina uzoefu...
3 Reactions
7 Replies
832 Views
Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
1 Reactions
5 Replies
884 Views
Jamani mwenye tetesi za ajira za walimu za serikali atuhabarishe.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, Naomba kujua kwenye ufahamu na hii kampuni esra company ltd nimejaribu kuifuatilia sielewi ofisi zao ziko wapi kwa hapa Dar mana walinitumia Email kuhusu kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Job Summary Job Purpose: Support operations by ensuring proper usage, regular maintenance and repairs of assigned vehicles for high performance and to undertake driving assignments within and...
0 Reactions
2 Replies
689 Views
Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha nne natafuta kazi udereva private car niko dar mbezi 0622290694
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Habari za muda huu Ladies & Gents nakuja Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.... Nilikuwa nauliza hawa madereva wa hizi gari za Azam zinazojulikana kama SARAFU mishahara yao inaweza fika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wasalaam ndugu na jamaa... ningependa kujua kama jeshi la wananchi linapokea wale wenye matatizo y7a macho haswa wale wanaovaa miwani!!! jion njema
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimerudi kwenu tena, nipo dar es salaam natafuta nafasi ya kazi. Kazi yoyote inayo husu computers naweza fanya!. Data entry, Microsoft Office works, computer software repair and maintenance...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nahitaji bajaji ya mkataba wakuu... Nipo Tabora lakini nina uenyeji Dsm na ninaweza nikaja kufanyia kazi popote bajaji itakapo patikana. 0716611090
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Waziri Ummy Mwalimu alihaidi kuwa kufikia mwezi December watakasema ameajiri walimu elfu 10. Hiyo ilikuwa mwezi wa 8, mwezi wa9 majaliwa akasema kibari Cha ajira kimetoka,lakini mpaka Leo mwaka...
3 Reactions
13 Replies
871 Views
Looking For: Unpaid Internship in IT fields, specifically Networking, Database Management, Web Development. Name: AvailableIntern Sex: Female Age: 26yrs Address: Kigamboni, Dar es Salaam...
1 Reactions
6 Replies
743 Views
Niko maeneo ya Pugu Nina kazi kidogo ya kupaka rangi chumba kimoja. Nahitaji fundi wa kufanya kazi hiyo na awe anatoka maeneo ya jirani na Pugu. Karibuni sana. Sent from my TECNO CC6 using...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree. Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello naitwa Kelvin nipo mbeya kwetu kwasasa(from kahama). Nimekuja mbele yenu tena ndugu zangu natafuta kazi/kibarua. Nna elimu ya ualimu wa sekondari. Pia nna ujuzi wa kutumia computer (Ms...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom