Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari, Tafadhali pokea kiambatishi chenye tangazo la nafasi ya kazi tajwa.
3 Reactions
1 Replies
380 Views
Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha...
1 Reactions
7 Replies
498 Views
Habari Wana JamiiForums Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ila kwa Sasa naishi Tunduma. Natafuta KAZI YOYOTE katika taasisi binafsi mfano shule,kampuni ya mabasi,clearing & forwarding company na hata...
1 Reactions
5 Replies
447 Views
Stationery ipo Mwanza, Wilaya ya Nyamagana maeneo ya chuo cha SAUT 1. Awe na uwezo mzuri wa kutumia vifaa vya stationery kama vile computer, printer, photocopiers, pamoja na vifaa vingine...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa BSc. Biotechnology and laboratory science mwaka huu kutoka Sokoine University of Agriculture (SUA). Natafuta kazi ata nje ya taaluma yangu Kwa mwenye...
2 Reactions
6 Replies
380 Views
Wakubwa zangu i hope mko fine, Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu. Nimepata option mbili za kazi: 1. Kujitolea serikalini 2. Kuuza duka ambapo mshahara wake...
3 Reactions
23 Replies
783 Views
Job type: Full-time Company: Dangote Cement Location: Mtwara Description Responsible for coordinating and managing the activities of Fleet Managers and their teams. Ensure compliance with...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Job type: Full-time Position: Marketing Officer Company: Simusolar Role Overview As a Marketing Officer, you'll play a key role in designing and implementing marketing strategies for...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya...
0 Reactions
5 Replies
912 Views
Habari Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana. Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza...
1 Reactions
3 Replies
376 Views
Ndugu zangu habari na heshima kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Dar es Salaam, kwa sasa najishughulisha na kazi ya ufreelancer katika kampuni moja malipo ni kwa commission...
2 Reactions
4 Replies
308 Views
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na...
4 Reactions
7 Replies
433 Views
Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Anahitajika kijana anayeweza kufanya kazi za pedicure na manicure, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni...
2 Reactions
3 Replies
263 Views
Naitwa Christian naishi Kurasini, uhasibu natafuta gari ya kufanya bolt, Nina account na tayar kuanza kazi mda wowote 0698568933 kwa yeyote mweny uhitaji wa derava bolt ahsateni
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
2 Reactions
0 Replies
136 Views
Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Back
Top Bottom