Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Anahitajika dereva daraja la D au C uzoefu miaka 3 na kuendelea kuendesha gari la kampuni na hoteli Jijini Mwanza Kirumba. mshahara mazuri na maslahi yatatolewa. piga 0739290084 au 0655290084.
Position: Trainee Dealer (15)
We are seeking enthusiastic individuals with a keen interest in games and a drive to deliver exceptional service to our valued guests. As a Trainee Dealer, you...
WanaJF nisaidie sheria za kazi zinasemaje kuhusu mtumishi wa umma anayeenda kusomea kada tofauti na ile aliyoajiriwa nayo?
Mf. niliajiliwa kama mwalimu nina miaka 8 kazini na nimejiendeleza...
Habari wakuu?
Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako...
Jf habari za humu
Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo.
Ombi langu kwenu najua humu kuna watu...
Job Summary
Financial strategy and Planning – Contribute strongly to the formulation of SCB Tanzania strategic and medium-term financial plans and their implementation.
Ensure accurate and...
Hivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni Tsh ngapi au unaanzia Tsh ngapi?
Kwangu nikipata kuanzia net ya Tsh. 2,000,000/= nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania, wewe je?
Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu.
Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua...
Natamani kujiunga na jeshi la Tanzanzania,
Je ni vigezo gani natakiwa niwe navyo ama ni mbinu gani naweza kufanya ili nijiunge na jeshi la Tanzania.
Natamani sana kuwa Mwanajeshi nitetee nchi...
Wakuu kwani majibu ya waliotuma maombi ya kazi ya kuandikisha watu katika daftari la kudumu la wapiga kura,mkoa wa Dar es salaam yanatoka lini? Au ndo tayari yametoka?
Poleni na Majukumu wana JF
Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba...
Position: Consultant for Content Development of an E-learning Course
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 1st December 2024 – 28th February 2025
Application Deadline: 18th November 2024...
https://ajiratimes.com/tag/tpfcs-3000-vacancies-november-2024/
Kuna hizo ajira nilionaga ila nika zi ignore..Leo nimejaribu kufuatilia nikasema inaweza kuwa kweli ni ajira
Wajuzi wa kujua...
TRADESAFE LIMITED
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER
CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED
---
ROLE OVERVIEW
TradeSafe Limited is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.