TRADESAFE LIMITED
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
POSITION: LOGISTICS PROJECT DEVELOPMENT MANAGER
CONTRACT TYPE: 1-3 YEARS CONTRACT
---
ROLE OVERVIEW
TradeSafe Limited is seeking a...
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you an Artistic and creative person? Are you an excellent communicator? Do you enjoy working with International visitors...
Habari za wakati huu.
Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa...
We’re looking for qualified and passionate Heads of Sports!
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about providing students with opportunities to...
Naombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi. Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana...
Habari za muda huu.
Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.
Nina uzoefu wa...
Wadau naombini mnishike mkono kama kuna kazi yoyote ya kueleweka kidogo ambayo ni ya halali naombeni mnisaidie na Mimi nipate chochote kitu hata kidogo basi
Nipo Dar es Salaam jinsia wakiume...
Position: Consultant for Technical Development of an E-learning Course
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 1st December 2024 – 28th February 2025
Application Deadline: 18th November 2024...
Job description
SECTION I: JOB PURPOSE
The Support Administrator serves as the primary contact for all incoming calls and email requests for
technical support. The purpose of this role is to...
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.
Naomba kama kuna mwenye kazi au connection za kazi zote professional nimesoma kozi ya accounting with IT na ambazo si professional nafanya kwa moyo...
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoweza nipatia uzoefu wa kazi natafuta uzoefu katika fani ya Kodi au uhasibu.
Nipo mbeya nina shahada ya...
Leo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha.
Cha ajabu wafanyakazi...
Kama Kichwa Kinavyojieleza Nina Uhitaji wa Nyaraka Hizo au Hata Moja kati ya Hizo Mwenye Uhitaji Nazo naomba Anisadie aje Inbox tuongee..
Hata kama Kununua Nitanunua nina Umuhimu nazo sana
Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview...
Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja...
Elimu: shahada ya uuguzi.
Umri: 31
Jinsia: Me
Location: Dar es salaam
Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu.
Niko full licenced.
Mawasiliano yangu.
0694029955 / 0718605934...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.