Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Location: Ali Hassan Mwinyi/Kaunda Drive Junction, P.O. Box 804, Dar es Salaam, Tanzania Application Deadline: 8 November 2024, 04:20 PM Job ID: 3233 Posting Date: 1 November 2024, 04:20 PM Key...
1 Reactions
0 Replies
159 Views
The British Government is committed to inclusivity and diversity, welcoming applications from all backgrounds and ensuring equal opportunity regardless of disability, race, ethnicity, gender...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Nawasalimu wanajamvi. Naomba kujuzwa anaefahamu kiwango cha salary scale hii TRCS 5 ni shilingi ngapi
0 Reactions
26 Replies
33K Views
Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii Kama kuna mtu ana connection hata kuwa...
7 Reactions
67 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi nipo Arusha, nina umri wa 33, natafuta kazi, Viwandani, dukani, hotelini hata za ujenzi. 0747073431
1 Reactions
0 Replies
410 Views
Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
1 Reactions
0 Replies
262 Views
Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe...
3 Reactions
2 Replies
320 Views
Habari za weekend na poleni kwa majukumu. Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma Kwanza niwape pongezi...
5 Reactions
45 Replies
10K Views
shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi. makazi ni shambani hapo hapo. shamba liko kigoma wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30...
2 Reactions
0 Replies
219 Views
Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
24 Reactions
178 Replies
20K Views
Wakuu, Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi. Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri. Jamaa...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
  • Redirect
Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
4 Reactions
Replies
Views
Habari. Kwa kinachoendelea hakiitaji maelezo mengi sekretarieti ya ajira (PSRS) wamekuwa dhaifu na wamelewa. Mpaka leo kilio cha wasaka ajira kupitia utumishi ni kile kile. 1.Kuchelewa kuita...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Job Description KPMG and a consortium of partners is preparing to tender for Managing Agent services on a new DFID-funded primary education programme in Tanzania, Shule Bora. KPMG is a leading...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 24, uzoefu miaka 3 leseni class D, Nimepitia chuo cha mafunzo ya udereva, nina cheti cha mafunzo na leseni pia. Nina...
4 Reactions
9 Replies
815 Views
Nimeona sehemu hilo tangazo. Vijana jobless changamkieni. Kila la heri.
0 Reactions
18 Replies
859 Views
UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua...
70 Reactions
605 Replies
122K Views
Back
Top Bottom