DEADLINE EXTENDED
Position: Consultant needed for Citizenship and Leadership Academy Content Development
JamiiForums, in partnership with WiLDAF via the USAID's Wanawake Sasa Project, is...
wakuu,
nimeitwa kwenye interview Exim bank kwa position ya Customer Care officer naomba mtu mwenye uzoefu anisaidie.. interview ni kesho asubuhi saa nne..
asanteni
Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani?
Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na...
Kutokana na hali halisi uko mashariki ya kati, Palestine, Israel, iran, Lebanon n.k.
Ukitamani kua mwanajeshi uko unaonekana mzalendo na milango ipo wazi kutokana na huwalisia wa kuepo na matukio...
Wanajamvi,
Hayawi hayawi sasa yamekua. Naona TAMISEMI na DAs wengine wameanza kuachia mikeka. Leo ni zamu ya Dar Es Salaam. Hongereni sana kwa mliopata.
Wengine tuendelee kusubiri.
NOTE...
NDUGU zangu nimekuja kwenu najua humu ndani kuna watu wenye kada tofauti tofauti
Mimi ni dereva kwa kusomea, tokea nijifunze udereva huu ni mwezi takribani mwezi wa 5....hivyo nimeshawahi kwenda...
Husika na kichwa cha habari,
mimi ni mfamasia niliehitimisha mafunzo ya utarajali katika hospitali mbili tofauti hspa nchini Tanzania yaan Muhimbili National Hospital-Mloganzila pamoja na Ocean...
Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika.
Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana...
Habari Wana bodi,
Wakuu mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu na sayansi yaani bachelor of science with education (biology and geography).
Average GPA yangu kwa Semester zote ni 4.4...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika...
Walimu wa kiswahili wanahitajika 184 walio omba ajira ni Zaidi ya 28000, usaili ukipita na kuwapata walimu wa kiswahili 184, walio faulu usaili na kuweka kwenye database watakua wengi na walio...
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri...
Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.