Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona...
Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua...
Mimi ni kijana na mkazi wa Arusha mjini kwa Sasa, nimuhitimu wa shahada ya geography na mazingira 2018, Nina uzoefu wa kufanya kazi kama GIS Analyst kwa miaka karibuni 5, mbali na Hilo Nina...
SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA
Na Josephat H +255 656 480 968
Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina...
Habarini wanajukwaa,
Natafuta kazi ya usimamizi wa shamba la mifugo nina elimu ya diploma ya Afya za wanyama, nina uzoefu pia wa usimamizi wa mifugo kwa zaidi ya miaka miwili.
Kwa sasa...
Mwenzenu nimefanya oral Arusha lakini sikuomba Arusha kwenye interview za afya Kiukwel nilijibu maswali yote vizuri lakini nmekosa ajira..
Sikuomba Arusha vipi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa...
Ushauri kwa Ofisi ya Rais sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma, (PSRS) Naomba serikali hasa upande wa serikali za mitaa utoa fursa za kuomba kazi hata kwa wahitimu wenye vyeti vya digrii...
House KEEPER ANAHITAJIKA.
Umli miaka 22-30
Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi
Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk.
Karibu sana
UPDATES : maombi...
Habari za majukumu nilikuwa naulizia juu ya hizi scale kuna tangazo nimeliona limeandika PMGSS ya 2.1 napenda kufahamisha ni sawa na mshahara kias gan? Asanteni
The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for: Secretary
We are
The European Union (EU) is an economic...
Habari zenu wana JF.
Kipindi nipo mwaka wapili chuoni hawa jamaa walikuja chuoni kwetu waka tupa form tulikuwa wengi tuka zijaza. Sasa wakaanza kutufwatilia, mara wampigie mshuwa mara wanipigie...
Habari.
Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya.
Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
Nipo...
DEADLINE EXTENDED!
Position: Consultant Citizenship and Leadership Academy (CLA) Software Developer
JamiiForums, in partnership with WiLDAF and Her Initiative, are looking for a highly skilled...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.